Upendo ungekuwapo mauaji ya waparestina waislam, mauaji ya kinyama kule Miamari, mauaji yasio na mfano yaliofanywa na Marekani kule Iraq, pakistani, Afghanistani, Libya n.k yasingetokea. Sema upendo wetu tunautangaza wanapouliwa wasiokuwa waislamu ila wakifa kinyama waislamu basi Upendo hautangazwi.