Kivipi wakati kina mtu na utamaduni wake ndio maana wageni kutoka kwenu wanajenga kanda hizi we vipi wewe
Umetumia vigezo gan chief maana ustaarabu n neno mtambuka sana nijuavyo mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Uislamu unauleta we kwan kilimanjaro kuna waislamu wengi?Kwanini iwe mikoa(maeneo) yenye waislamu wengi?
Ulichokusudia wengine tumeelewa hasa tukiangalia threads zako nyingi zina mlengo gani.
Ila ustaarabu ni tabia ya mtu haiusiani na mkoa ay eneo aishilo.
Zanzibar ungeiweka pale mwanzo kabisa, kwa udini, Siyo ustaarabu.
Unajua nilichomaanisha, acha kujivua akili
Umetaja Upareni, huko ndiko kwenye Waislamu wengi katika mkoa wa Kirimanjaro.
Acha kunilisha manenoUnajua nilichomaanisha, acha kujivua akili
Ungetaja na nchi zinazoongoza kwa huo 'ustaarabu ' duniani nadhani zingekua hizi...Somalia, Sudan, Misri, Libya, Saudia, Iraq, Iran na nyinginezo zinazofanana na hizo