Anajitangaza tu hana lolote,sema hajampata bilionea aliekua anamtafuta
Mmh anavyohangaika sasa, sasa ivi anakwambia haangalii mfuko tena anataka mwenye tabia nzuri, yani siku izi kawa mcharuko huyu yani akilala akiamka anaropoka analojisikia, nyie Nyeg3 mbaya jamani usikie tu kwa mwenzio, hapa anahangaika kinamuwasha tu hana lolote.
kwani si ndio huyu aliyevalishwa london? au nina makengeza au maisha yao ni usanii mtupu?
Mmh kujitahidi kote kule kwa sajuki watu wakamsifia mwanamke bora anayefaa kuigwa nikajua mumewe akifa tu watu wanabeba mzigo, naona had leo kimya huyu atakuwa katupiwa mambo yetu sio bure
Ila watoto na wenyewe wanamlostisha, aya anayetaka kulea mitoto ya watu nani sasa ivi? Tena wawil bora angekuwa mmoja, huo nao mtihan kwa kweli, watu wanataka watoto wabichi tabia nzur ata kuku anayo, bi shost kapiga Km za maana watu hawamtaki kashakuwa used
Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma
amefunguka kuwa tangu mume wake Juma
Kilowoko Sajuki afariki dunia , wamekuwa
wakijitokeza wanaume kibao wakitaka
kumuoa lakini amegundua wengi wana nia ya
kunitumia tu .
Msanii wa filamu Bongo , Wastara Juma .
Akizungumza na mwandishi wetu hivi
karibuni , Wastara alisema kama mwanamke
amekuwa akitamani kumpata mwanaume wa
kumfariji lakini kinachomchanganya ni
sampuli ya wanaume wanaotuma maombi
kwake.
Mpaka sasa wameshanitokea wanaume
zaidi ya kumi lakini wengi wao nawaona
wananitaka ili kujua nini nilichonacho na
wengine wananifuata wakidhani watapata
mali na si mapenzi ya dhati .
Kimsingi wanataka tu kujua Sajuki alidata
na nini kwangu , mimi siko hivyo . Siwezi
kumruhusu mtu aingie kwenye maisha yangu
kwa masilahi yake . Ninayemhitaji namjua
moyoni na ipo siku nitampata kwani siangalii
mfuko wa mtu, naangalia tabia , alisema
Wastara .
Kumbe ana watoto wawili au mmoja??
Ila kiukweli wasanii bongo shule hakuna kiasi kwamba vichwa vimejaa vinyesi na sio akili!Uliolewa na sasa mjane haya mambo sijui ya nataka bilionea,sijui nimevishwa pete,mara wanaume wananisumbua na takataka nyingine.Ni upumb.avu kuanika "MAMBO YAKO BINAFSI KUWA YA KITAIFA". Au unatafuta huruma ya watanzania?Una akili chache sana wewe mwanamke.Na utapata wanaume wa aina yako
Kwanii mapenzi si ni kuchezeanaa auu! !!!
Kumbe ana watoto wawili au mmoja??
Walaaa nimemkumbuka sajuki alivyokuaa
Binamu eeh, nasikia mtoto wake wa kwanza alizaaga na yule mwanamuziki Solo thang, unamkumbuka nahisi
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums