Wastaafu tunaungana kupinga sheria na Kanuni mpya ya mafao ya mwaka 2018 Mahakamani

Napendekeza wafanyakazi wote wa serikali Tanzania waandamane kupinga hii sheria Pingamizi
 
Hii sheria itaanza kutumika kwa wastaaf wa mwaka gani maana mzee wangu kastaaf june mwaka huu km akiskia hii taarifa na hili rungu likimhusu anaweza kufa kwa presha kwa mipango aliyopanga
 
Kuendelea kufanya kazi huku ukiwa unajua kabisa pesa zako za pensheni hutakuja kuzipata ni zaidi ya ufala.
 
Katika hali ya sasa unaamini kabisa DEDs watatangaza kushindwa kwa mgombea wa CCM?

Vv
 
Nakumbuka kwenye Mjadala huu bungeni zitto Kabwe aliongea sana mpaka anataka kulia.

Aliambulia kutukanwa na kuonekana mjuaji. Leo naona tunaanza kuongea lugha moja.
Pia alilamika sana bungeni marehemu Mh. Bilago wabunge wa CCM wakamwambia anahangaika bure.
 
Katika hali ya sasa unaamini kabisa DEDs watatangaza kushindwa kwa mgombea wa CCM?

Vv

Usifananishe uchaguzi mkuu na huu wa akina waitara

Uchaguzi mkuu ni majimbo mangapi na tunavituo vingapi vya kutangaza matokeo

Ifike wakati kudhibitiana hasa idadi ya Askari itakapopwaya.
 
Sheria ya kigasHow
 
Ni kweli Watanzania kwa kushirikiana na wafanyakazi wote tuipinge hii sheria kandamizi. Tunataka sheria na Kanuni za zamani zitumike.
 
mahakamani lazima watasimamisha hii sheria, kule bado wachache wapo wanatumia akili zao siyo kushikiwa kama akina Ndugae.
 
Wazo zuri sana. Fatma Karume chukua kesi hii haraka sana, onesha uzalendo. Serikali imegeuka jambazi dhidi ya raia wake.
 
Hivi hao wanaotengeneza hizo Sheria wao haziwahusu au wana namna ya kuzikwepa sababu naona kama wanawatungia wengine!!!
Mkuu huwa siwaelewi hawajifunzi tu kwenye sheria ya FAO la kujitoa wengine walitumbuliwa nadhani mafao hawa japata
 
Usifananishe uchaguzi mkuu na huu wa akina waitara

Uchaguzi mkuu ni majimbo mangapi na tunavituo vingapi vya kutangaza matokeo

Ifike wakati kudhibitiana hasa idadi ya Askari itakapopwaya.
Adolay, hizi chaguzi ndogo ni mkanda wa negative wa uchaguzi ujao, amini nakwambia ktk uchaguzi ujao idadi ya wapinzani wataoshinda itapungua; kwanza kwa mizengwe ya wakurugenzi wa Halmashauri, pili kwa kuwa idadi ya wataoenda kupiga kura itapungua sana lkn itafidiwa kwa kura hewa nyingi kama ilivyokuwa kwenye chaguzi ndogo, tatu kwa sababu ya uminywaji wa haki za kidemokrasia kama ilivyo sasa.

Uxhguzi wa serikali za mitaa mwishoni mwa mwaka huu utathibitisha hayo nikwambiayo.

Vv
 
Awe judge au hakimu wote ni wahanga wa sheria hii! Kwa vyovyote hawatawaangusha wastaafu labda apelekewe yule mkwe!
Hivi unamfahamu Mtanzania kweli,haya bwana, tusiandikie mate wakati wino tunao.Tusubiri,time will tell.
 
huu mfumo wa awamu ya tano wanataka pesa za haraka sn bila kujali wangap wanaumia, nawashangaa sn cjui huu.mfumo wamecopy wap?, aliyemweka huyu atutolee, Tz ni nchi nyepes sn kutawala, ila kwa hili sasa wanatutia vidole vya macho
 
Inasikutisha sana kuona sheria ya kishenzi kama hii inapitishwa na watu (wabunge) ambao baada ya miaka 5 tu ya ubunge wao wanalipwa kwa mkupuo kiinua mgongo cha zaidi ya milioni 200!

Hapa ndipo wananchi mnapaswa kujua ccm ni majambazi hawafai. Wabunge wa ccm ndio wanapitisha wizi huo , kuwatapeli wafanyakazi waliofanya kazi kwa miaka 30, aibu kwao wabunge wa ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…