Wastaafu EAC "Waiumbua",Waikana CHADEMA

Hii iwe fundisho kwa CDM, si vyema kutumia shida za wazee wetu kujinufaisha kisiasa, swala la kisheria liachwe kisheria sio kuliingiza kisiasa.


Dah we mbaya sana ndo watamani ccm waendelee kuwepo ili mzee wako afe kabla hajalipwa the urithi mahela eti? waache wazee wapambane kwa namna nyngne coz kwa sasa hawatakaa walipwe mafao yao coz yalisha tumika ktk shughuli za chma chenu. CHAMA CHENU HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
 
Hii iwe fundisho kwa CDM, si vyema kutumia shida za wazee wetu kujinufaisha kisiasa, swala la kisheria liachwe kisheria sio kuliingiza kisiasa.

Ushahidi wa picha ulikuwapo. Hawa wanaojitokeza leo ni wale cheap wanaonunuliwa kwa mlo mmoja na kuwasaliti wenzao. Bado sijasahau wale mbumbumbu waliohongwa na magamba wakajivika vyeo eti viongozi wa madaktari wakaitisha mkutano na vyombo vya habari kuomba radhi kwa kugoma. Mungu si Mpare muda si mrefu waanza kuumbuka kwani wanafahamika. Nafikiri waliokuwa pichani katika tukio la kukabidhiwa kadi wanafahamika, endapo sio wahusika wa A. mashariki basi watajwe.
 
Kuishabikia CCM ndiyo kutawawezesha kupata Mafao yao?



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…