Wassira yuko sahihi kabisa


katiba ni ya ccm au ya chadema, nccr au cuf...
 
Wassira? Hifadhi yetu hio inaharibu nchi. Iliwahi kutangaza kuwa Jk hana muda wa kukutana na ukawa huku akiionea wivu juice ya Ikulu,jk aliporudi toka majuu akawaita na wasira akawa mwalikwa ktk kikao hicho. Leo tena anampiga bt kikwete ili asiende kujenga muafaka na ukawa. Swali,hivi Hifadhi ni mkuu kuliko Jakaya?
 
Wasira na mabaki ya muumini wa chama kimoja hivyo mawazo yake bado ni mwaka 1966, ni viongozi ambao hawatakiwi tena na hawana tena msaada ktk dunia ya leo ukichanganya na uzee wake tayari akili yake inadumaa kila kukicha!
 
Ndiyo faraja mnayokwenda nayo ikuku? Naona kumbe mmependa kumshika mkono rais wenu, nendeni
Wasira asiwasemee wengine kwani KESSY na wengine wengi hawaungani na msimamo wa wakoloni mamboleo C.C.M.
 
Maskini Wasirra! akili za kufikiri,maono na wekedi unaporomoka kwa kasi ya kutisha!! Hivi hana wajukuu akacheze nao? Dah! hadi huruma!
 
Kilaza anapoenda kujadiliana mambo ya muhimu na vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…