Not_Yet_Uhuru
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,304
- 431
Akiongea katika kipindi cha DK 45 ITV. Wasira kasema kwanza anao uzoefu kwa kuwa alikuwa waziri wa kilimo enzi hizo; kwa mazao ya chakula ni tatizo kwani jirani zetu ambao tunapakana nao kama Kenya Sudan na Somalia wanapokuwa na matatizo ya vyakula hununua kwetu.............. Naomba msaada kwa wanajiographia kuhusu nchi tunazopakana nazo..........
hii picha imetoka clear kama blue ray
wasiwasi wangu ni hawa jamaa wanavyolala hivi hawawezi kukoroma au hata kuchafua hewa kidogo??? they look very fast asleep
Du! Mulugo senior. Tatizo la nchi yetu ni kwamba wanapopata Uwaziri hawasomi tena, wao na magazeti tu. Hata prof wao ni vivyo hivyo. Hebu Waziri ama mbunge mmoja ajitokeze aseme hadharani tangu ateuliwe Uwaziri ama achaguliwe Ubunge ameingia maktaba gani na kusoma juu ya nini? HAKUNA!Akiongea katika kipindi cha DK 45 ITV. Wasira kasema kwanza anao uzoefu kwa kuwa alikuwa waziri wa kilimo enzi hizo; kwa mazao ya chakula ni tatizo kwani jirani zetu ambao tunapakana nao kama Kenya Sudan na Somalia wanapokuwa na matatizo ya vyakula hununua kwetu.............. Naomba msaada kwa wanajiographia kuhusu nchi tunazopakana nazo..........
Akiongea katika kipindi cha DK 45 ITV. Wasira kasema kwanza anao uzoefu kwa kuwa alikuwa waziri wa kilimo enzi hizo; kwa mazao ya chakula ni tatizo kwani jirani zetu ambao tunapakana nao kama Kenya Sudan na Somalia wanapokuwa na matatizo ya vyakula hununua kwetu.............. Naomba msaada kwa wanajiographia kuhusu nchi tunazopakana nazo..........
Akiongea katika kipindi cha DK 45 ITV. Wasira kasema kwanza anao uzoefu kwa kuwa alikuwa waziri wa kilimo enzi hizo; kwa mazao ya chakula ni tatizo kwani jirani zetu ambao tunapakana nao kama Kenya Sudan na Somalia wanapokuwa na matatizo ya vyakula hununua kwetu.............. Naomba msaada kwa wanajiographia kuhusu nchi tunazopakana nazo..........
Mulugo mwingine??
Ila nataka kuamini kwamba ccm kuna Milugo mingi ila yule waziri wa elimu alikwa kiwakilishi tu.
Nasema siku zote, uchawi huondoa maarifa. Hakuna mtu mshirkina na mchawi anabaki na maarifa hata kama kasoma shule.
Haya huyu ni mmoja wa maraisi wa ccm!.
Wehu!