Wassira: Tanzania inapakana na Kenya, Sudan na Somalia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wassira: Tanzania inapakana na Kenya, Sudan na Somalia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Alfred Daud Pigangoma, Feb 6, 2012.

 1. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Akiongea katika kipindi cha DK 45 ITV. Wasira kasema kwanza anao uzoefu kwa kuwa alikuwa waziri wa kilimo enzi hizo; kwa mazao ya chakula ni tatizo kwani jirani zetu ambao tunapakana nao kama Kenya Sudan na Somalia wanapokuwa na matatizo ya vyakula hununua kwetu.............. Naomba msaada kwa wanajiographia kuhusu nchi tunazopakana nazo..........
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu, vipi bana..........
  Na huyu nae yani anaenda kuongea mahiondi na maharage??

  Class mamalia!!!!
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Huyu mzee anaikumbuka jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika mwaka 1977!
   
 4. D

  DOMA JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Mmmh mh! Ama kweli butua bora liende
   
 5. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 6. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Inabidi mtangazaji am-keep bzy kidogo, vingnevyo hachelewi kuuchapa Live ,manake naona kama network zinaanza kukata kama hakumbuki hata majirani zetu kijiografia
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, jamaa atakua ameshafikia ule umri wa kuwa kama mtoto, haya mambo ya kufoji vyeti na kurudisha umri chini yana matataizo sana
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Na yeye alikuwa Anachakarika aongee chochote ili asiwe idle maana anajua hakawii kuuchapa!
   
 9. King2

  King2 JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Anajua nini huyo. Kazi kupiga mbonji bungeni.
   
 10. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160

  Lidubwana gani hili?
  :embarassed2:
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Akili ya Kuambiwa changanya na yako! Tanzania kupakana na SUDAN na Somalia, huyu Wasira ni mpuuzi
   
 12. m

  madrid Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kw usingizi huu atakumbukaje tunaopakana nao!!!??? kama kawa,maendeleo nyuma tumbo mbele.
   
 13. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Inawezekana alikuwa ametoka kunywa dawa na ametoka usingizini alikuwa anaota Tanzania imepakana na Sudani na Somali. Sio kosa lake na kumbukeni Madaktari wamegoma Muhimbili na Apollo wamechelewesha kumtumia dawa zake.
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,436
  Trophy Points: 280
  hii picha imetoka clear kama blue ray
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wasiwasi wangu ni hawa jamaa wanavyolala hivi hawawezi kukoroma au hata kuchafua hewa kidogo??? they look very fast asleep
   
 16. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tatizo la kumhoji mtu aliyetoka usingizi halafu anataka aonekana hakuwa amelala. Hadi kanikumbusha vituko vya wazee wa baraza mahakamani. Hivi hili zee halina washauri jamani?
   
 17. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2012
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nami nimeipenda hiyo picha inaonekana kamera ilikua babu kubwa
   
 18. King2

  King2 JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hilo ni Dubu. mkuu
   
 19. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  hivi hii hali itaendelea mpaka lini?mbona hawa jamaa hawajui basic knowledge?mponda kwa confidence zote akasema intern ni mwanafunzi wa mwaka wa nne...waziri wa elimu anafurahia kufaulisha vitoto visivyojua kuandika wala kusoma...miaka 50 tumeadhimisha ya nini?
   
 20. sterling

  sterling Senior Member

  #20
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ama kweli kiharusi kinachotembea
   
Loading...