busara zake ziko kwenye
dole gumba lake,siku ukimuona kapeleka mkono kichwani upande wa kushoto
mwa paji la uso wake ujue siku hyo ataongea pampers
tupu<?>
Wkt anaelezea tukio la Kibanda kuumizwa, Wassira alisema:
"Kibanda ni nani hata serikali imteke? Ingekuwa Mbowe au Dr Slaa, ningeelewa"
Leo asbh kwenye jambo Tanzania,
akijibu madai ya Mbowe kuwa bomu lilirushwa kwa maelekezo ya serikali wakitaka kumuua yeye,
Wassira kasema:
"Mbowe kwanza sio tishio, alishindwa uchaguzi 2005 akipata kura laki 6,
nani atake kumuua?
Kwanza serikali gn isiyo na shabaha, irushe bomu wkt ametoka jukwaani?"
My take:
Huyu bwana anajichanganya.
Kule Bungeni alionesha kuwa Mbowe au Dr Slaa ni tishio na wanaweza kuwa target, na sio mtu mdogo km Kibanda.
Pia anaposema serikali gn haina shabaha, anamaanisha pale walengwa walipopigwa au kulipuliwa, ambapo shabaha ililengwa, hapo ndo serikali ilishiriki, kwa vile ina shabaha sana?
Hebu ajifunze kuitetea serikali kwa weledi, anapodhani anaitetea kumbe anazid kuichafua.
Naombeni kuuliza.Ivi wasira ndo yule baba anaefanana na yule mnyamapori aliyechorwa kwenye shilingi mia tano?
Wkt anaelezea tukio la Kibanda kuumizwa, Wassira alisema:
"Kibanda ni nani hata serikali imteke? Ingekuwa Mbowe au Dr Slaa, ningeelewa"
Leo asbh kwenye jambo Tanzania,
akijibu madai ya Mbowe kuwa bomu lilirushwa kwa maelekezo ya serikali wakitaka kumuua yeye,
Wassira kasema:
"Mbowe kwanza sio tishio, alishindwa uchaguzi 2005 akipata kura laki 6,
nani atake kumuua?
Kwanza serikali gn isiyo na shabaha, irushe bomu wkt ametoka jukwaani?"
My take:
Huyu bwana anajichanganya.
Kule Bungeni alionesha kuwa Mbowe au Dr Slaa ni tishio na wanaweza kuwa target, na sio mtu mdogo km Kibanda.
Pia anaposema serikali gn haina shabaha, anamaanisha pale walengwa walipopigwa au kulipuliwa, ambapo shabaha ililengwa, hapo ndo serikali ilishiriki, kwa vile ina shabaha sana?
Hebu ajifunze kuitetea serikali kwa weledi, anapodhani anaitetea kumbe anazid kuichafua.
Huyu Wassira "The Gorilla" Alishawahi kuua mtu ufukweni mwa bahari alikuwa mwanafunzi wa IDM nadhani alikuwa amechanganyikiwa kwa kuwa nje ya system kipindi hicho ilikuwa ni kabla ya kujiunga na NCCR Mageuzi kisa eti amekaa eneo ambalo yeye alikuwa ameandika marufuku yeyote kukaa maeneo yale. Sasa hivi anajidhihirisha kwamba watu wote ambao ni maarufu zaidi ya CCM huwa ni tishio na hustahili kuuawa. Sura kama mganga wa kienyeji!! Naomba mnisamehe nimechukia sana samahani!!!