Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,086
Huyu Ditto ana matatizo, inaonekana hizi jazba zake zinaweza kuleta maafa mengine atapoendelea kubaki mtaani, bora tu angebaki segerea, we uliona wapi mtu mwenye akili kujibizana kwa hasira na wananchi kwenye mkutano?
msomi ni nani? tuanzie hapa kwanza.
minimum qualification ya msomi.
maana hata kabla ya wazungu tulikuwa na wasomi.
msomi ni nani? tuanzie hapa kwanza.
minimum qualification ya msomi.
maana hata kabla ya wazungu tulikuwa na wasomi.
Kwanza kabisa kujiajiri ni hulka ya mtu binafsi, huwezi fundishwa sehemu yoyote ile jinsi ya kujiajiri, hata kama kama umesoma entreprenuership kama hauna hulka au msukimo binafsi toka ndani yako hautojiajiri kamwe,,,huitaji kua na elimu ya biashara ili kuendesha biashara, tatizo la wasomi wao ni ku psycho analyse kila kitu anakipigia hesabu na mwishoni anaconclude aaah hii biashara nitapata hasara...waajiriwa wengi hawawezi kuacha kazi kujiajiri sababu kwenye ajira kuna security, kwamba hata hali iweje 500,000 yake ipo kwenye kujiajiri leo waweza pata 30,000 kesho 70,000 kesho kutwa 10,000 siku ingine 0 siku zingine zaidi kabisa...kwaio mtu anajikuta hawezi...
wewe ulianzaje kwani?kujiajiri au kuajiriwaHabari zenu wanajamii. Nimekuwa nikitafakari Mara kadhaa na pia kupata mawazo toka kwa wasomi tofauti juu ya nadharia ya kujiajiri. Suala hili inaonekana ni gumu sana sasa sijajua kwamba hawana akili za maisha, hawana mitaji, ni waoga, au hawajiamini. Mtu yupo tayari aajiriwe kwa sh.laki 5 lakini tu awe chini ya mtu. Je, tunawezaje kubadirisha kasumba hii?