WASOMI wanaojielewa TU(muhimu)

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Wanajamvi naomba msaada kwa hii KOZI ambaye amewahi isoma Udsm
**Post graduate diploma in Monitoring and Evaluation...!(udsm)
Ambaya anadata zozote kuhusu hii cozi,jee haina mahesabu mahesabu,na inajiusisha na nini?
**Nafikiria kuisoma mwaka huu(intake ya mwezi 8)hii coz inatolewa evining
Iwa mwema
Wakatabahu
Adharusi
 
Hiyo kozi ipo pale engineering UDSM.Unapozungumzia mahesabu yasiwepo utazungumzia project bila mahesabu?Yapo ila siyo za kutisha sana lakini kama ulikimbia kabisa mh sijui kajaribu
 
Hiyo kozi nadhani ipo pale Coet-udsm,hesabu haziepukiki hapo so jiandae.
 
Hiyo kozi ipo pale engineering UDSM.Unapozungumzia mahesabu yasiwepo utazungumzia project bila mahesabu?Yapo ila siyo za kutisha sana lakini kama ulikimbia kabisa mh sijui kajaribu

Nimekuelewa
 
Back
Top Bottom