Wasomi wetu ni hopeless tu kama wanasiasa, hawana tofauti. Makundi haya mawili wameungana pamoja kuunda kundi la "Bourgeois" wasiojali walio chini yao kwa lengo la kulinda maslahi yao binafsi waliyojipatia kwa njia zisizo halali. Sisi makapuku need to fight back.