Wasomi ni watu walio sitarabika

Wasomi ni watu walio sitarabika

CalvinKevoo

Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
43
Reaction score
91
WASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi

Mkono wa mjinga unaandika popote pale ndo walivo wasomi wa bongo mumekosa kazi basi kazi kuwa kucoment ujinga ujinga tu kwenye thead za watu wewe Kama unaona mtu kaandika ujinga wake soma Maliza pita kushoto muache aliye andika abaki na ujinga wake

Akini anajuwa alichokiandka anamanisha nn sio kila kitu lazima ukoment mengine soma achana nayo na Kama umeamua kucoment basi koment kuendana na Mtoa Mada sio unakurupuka tu unaandika ujinga na ndo mana munaambiwa muende veta musomee fani kidogo mupunguze izo stres mulizo nazo za kupoteza muda kene madaftari mwishoe munaishia kubet na tu
 
Makosa kumi ya huu uzi kwenye uandishi wa maneno
1.Kene❌
Kwenye✔️
2.Mupunguze❌
Mpunguze✔️
3.Munaishia❌
Mnaishia✔️
4.Anamanisha❌
Anamaanisha✔️
5.Mumekosa❌
Mmekosa✔️
6.Thead❌
Thread✔️
7.izo❌
Hizo✔️
8.Mana❌
Maana✔️
9.Anajuwa❌
Anajua✔️
10.Munaambiwa❌
Mnaambiwa✔️

Mengine watamalizia na wasomaji wengine 🥶nimechoka kusoma huu uzi
 
Sawa Asante kwa kuona mapungufu yangu ewe uliyekamilika lakini naamini umenielewa nilicho maanisha
 
WASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi

Mkono wa mjinga unaandika popote pale ndo walivo wasomi wa bongo mumekosa kazi basi kazi kuwa kucoment ujinga ujinga tu kwenye thead za watu wewe Kama unaona mtu kaandika ujinga wake soma Maliza pita kushoto muache aliye andika abaki na ujinga wake

Akini anajuwa alichokiandka anamanisha nn sio kila kitu lazima ukoment mengine soma achana nayo na Kama umeamua kucoment basi koment kuendana na Mtoa Mada sio unakurupuka tu unaandika ujinga na ndo mana munaambiwa muende veta musomee fani kidogo mupunguze izo stres mulizo nazo za kupoteza muda kene madaftari mwishoe munaishia kubet na tu
Ila mkuu umeongea ukweli kuna baadhi ya watu wakishindwa kutetea hoja zao au ukiweka hoja ambayo hawakubaliani nayo wanaishia kukutukana
 
WASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi

Mkono wa mjinga unaandika popote pale ndo walivo wasomi wa bongo mumekosa kazi basi kazi kuwa kucoment ujinga ujinga tu kwenye thead za watu wewe Kama unaona mtu kaandika ujinga wake soma Maliza pita kushoto muache aliye andika abaki na ujinga wake

Akini anajuwa alichokiandka anamanisha nn sio kila kitu lazima ukoment mengine soma achana nayo na Kama umeamua kucoment basi koment kuendana na Mtoa Mada sio unakurupuka tu unaandika ujinga na ndo mana munaambiwa muende veta musomee fani kidogo mupunguze izo stres mulizo nazo za kupoteza muda kene madaftari mwishoe munaishia kubet na tu
Jana nimetoa hoja katika thread ya hama hama ya palestina, mmoja akasema ninafikiri kwa kutumia kinyeo, mwingine akasema nina mawazo ya kijinga.

Sasa nikajiuliza, wao walionitukana ina maana wana taarifa sahihi za mgogoro wa Palestina! Kama wanazo wamezitoa wapi? Tubishane kwa hoja na siyo kumdunisha mtu kama njia ya kujihami. Unakuta mtu anakwambia kwenye threas, "wewe huna akili, Trump hawezi kuipa silaha Ukrain"

Msomi anasema, " Hapana, itakuwa ngumu Trump kuipa silaha Ukrain kwa sababu....."
 
Hongera kwa kitendo cha kukosa aibu unajua kabisa hujui kusoma na kuandika ila umeamua kutunishiana misuli na sisi makatili tusio na chambe ya huruma kwenye sector ya ukosoaji.
 
WASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi

Mkono wa mjinga unaandika popote pale ndo walivo wasomi wa bongo mumekosa kazi basi kazi kuwa kucoment ujinga ujinga tu kwenye thead za watu wewe Kama unaona mtu kaandika ujinga wake soma Maliza pita kushoto muache aliye andika abaki na ujinga wake

Akini anajuwa alichokiandka anamanisha nn sio kila kitu lazima ukoment mengine soma achana nayo na Kama umeamua kucoment basi koment kuendana na Mtoa Mada sio unakurupuka tu unaandika ujinga na ndo mana munaambiwa muende veta musomee fani kidogo mupunguze izo stres mulizo nazo za kupoteza muda kene madaftari mwishoe munaishia kubet na tu
Humu kumejaa wapumbavu wengi sana, hakuna wasomi humu
Wasikuumize akili,
 
Pole sana kwa kukwazika.. mpaka umewatolea uvivu...usichukulie serious ya humu mkuu.
 
WASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi

Mkono wa mjinga unaandika popote pale ndo walivo wasomi wa bongo mumekosa kazi basi kazi kuwa kucoment ujinga ujinga tu kwenye thead za watu wewe Kama unaona mtu kaandika ujinga wake soma Maliza pita kushoto muache aliye andika abaki na ujinga wake

Akini anajuwa alichokiandka anamanisha nn sio kila kitu lazima ukoment mengine soma achana nayo na Kama umeamua kucoment basi koment kuendana na Mtoa Mada sio unakurupuka tu unaandika ujinga na ndo mana munaambiwa muende veta musomee fani kidogo mupunguze izo stres mulizo nazo za kupoteza muda kene madaftari mwishoe munaishia kubet na tu
Huko Facebook ndio wasiojua kusoma na kuandika kama wewe wanaachwa watoe mawazo ya hovyo na comment za ajabu ajabu! Humu ukijichanganya lazima upigwe mawe! Utaambiwa ukweli hata kama kwako ni machungu.
 
Back
Top Bottom