Hammer11
JF-Expert Member
- Feb 18, 2024
- 2,029
- 2,657
Tukisoma mambo ya hesabu agano la kale tunapata kuona Mungu alimjia Musa mlima sinai na akamweleza aende kuwakomboa wa misri kistarabu tuu pia tukija kuangalia Luke 26 malaika Gabriel alimtokea mwanamwali bikira mariam kistrabu na akamwambia utazaa mtoto utamwita Yesu ajabu sasa aliemtokea mtume kule Pangoni makkah na akamkaba na anajua kabisa mtume kusoma hajuii kweli huyoo ni malaika wa kutoka kwa mungu kwann asiwakabe wanyuma amkabe yeye tuu uje na ayaa asalam aleykum