VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
mkoa wa tabora una wananchi wengi wenye asili ya somalia. wamefikaje tabora isiyo hata upande wa kuelekea somalia?
kutafuta maisha ndio kumewafikisha hapo
Naona leo umeamua uamke na Rage.
rage wa simba au?
Mwizi wa FAT.
Duh hapa naona unamtafuta Rage na Bashe.
Kwa nini hakutafuta hayo maisha Moshi Kilimanjarokutafuta maisha ndio kumewafikisha hapo
Kwa nini hakutafuta hayo maisha Moshi Kilimanjaro
mkoa wa tabora una wananchi wengi wenye asili ya somalia. wamefikaje tabora isiyo hata upande wa kuelekea somalia?
Miaka 3000 iliyopita walikuwa hapa Tanzania, na kwa huko Tabora walifika na wajerumani wakiwa askari baadae wakawa wafanya biashara wakubwa wakiwahudumia wazungu kama chakula, na nyama general merchants, wengi wao walipewa British nationalities na wakapelekwa Burma na nchi nyingine kupigana Vita vya pili, usishangae Tabora walianza kutembea nchi nyingi duniani na kufanya biashara aina nyingi wakati wengine wakiwa wanatembea uchi, kuhusu suala la wasomali kuwepo serikalini pia alikuwepo mkuu wa polisi ingawa hakuna wengi kwenye siasa lakini walichangia mchango mkubwa wakati wa kutafuta Uhuru
Naomba nitajie familia 5 za wasomali wanaoishi Tabora kwa sasa,
Sio kweli wasomali ni wengi tabora! Nadhani huijui vizuri Tabora na labda nikusaidie kutaja kuna family moja ipo mtaa wa ngoma sakasi halafu nyingine ipo pembeni ya msikiti wa manyema ingine pale rufita ya kina rage. Family ya beder walishaondoka woote na ya mwisho ni yakina said msomali. Kama kuna ambazo nimezisahau hatazidi 2. Ukizichanganya zoote watu wake hawazidi 100. Hiyo ni tabora mjini.
Ukiangalia wilaya za urambo, nzega, sikonge na igunga family za kisomali hazizidi 10.
Nafikiri mtoa mada huijui Tabora vizuri au upo kisiasa zaidi, umeona kuna Rage na Bashe basi ndio imekua Tabora wasomali wengi!!! Au unadhani wakishinda uchaguzi basi wapiga kura wao watakua wasomali? Haa haa haaa.
They are not even 0.01% of the total population of Tabora.
Ni vizuri kuwapa watu taarifa sahihi sio siasa zitusukume kupotosha ukweli kwa makusudi.
I stand to be corrected