"Wasochana" wangapi hao mbona mmoja tu,
Mtuache!
Kumbe na wewe ni mrefu best, hongera
Sio wafupi sema warefu kwenda chiniMimi sio ngongoti wala kambilikimo bana, wanatunyanyapaa tunaoitwa wafupi.
Aiseeeee wasochana hao wamenoga sana
Tena mita 200Sie kina Andunje tukae mbali hapa
Upogo diaaa!Sie kina Andunje tukae mbali hapa