a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,265
- 2,457
Mkuu nenda kwa mada tu ikupendeza mkuuNa mama anaogopa yasije yakamkuta, anatuachia legacy mbovu kabisa, kizaz na kizazi kitamlaum kwa utawala mbovu. Siku katiba ikibadilika lazima tuwashtaki na wachukuliwe hatua, kwa katiba hii ni nan aliyemwekea Kinga raisi? Nyerere ndio walipitisha hii? Hebu tufahamishane?
Katiba mbovu? Mfumo mbovu kila kitu kibovu
Wenda zake ndiyo alikua wa wakuzim , twende kwa madaIla c tulikubaliana JPM ni katili hvy afadhali amekufa, vp tena mbona mayowe wakati mlisema mama ameiponya nchi 😎
Sawa mkuu , ila niombe tufikri juu ya Taifa letuMie naona yeye ndiye kawateka wenzake na kuwatumia atakavyo hadi kuwatukana kwa kuwaita machawa nao wakakubali
Huo ndo ukweli alijitahidi sana Sema aliamini watu ambao sio Sawa ndo waliomwangusha kikulachoHiko kikundi kipo long time. Ni vile watu wako in denial, rais pekee ambae alikataa kukubaliana nao ni Jpm tu
nimekosa mimi nimekosa mimi bora ya JPM,Ila c tulikubaliana JPM ni katili hvy afadhali amekufa, vp tena mbona mayowe wakati mlisema mama ameiponya nchi 😎
Nadharia za kijinga kama hizi utazikuta Tanzania tu. Eti hakupanga kuwania wakati kibibi kina uchu wa madaraka kuliko fisi na mnofu. Hivi kwa kutumia hata chembe ya ubongo wako kuna mtu anayeweza kulazimishwa kuwa rais bila kupenda? engine hujui maana ya urais wewe.Wakuu hamjambo wote hapa jf ,niwasalimu kila mmja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu ,kama ilivyoandikwa
Nipo na wasiwasi iliyo kuu kwamba SSH hakupanga wania urais 2025.
Wenda shida nikupitia kwa majizi ,mafisadi wa nchii hii ,kwenda naye ili kamilisha malengo yao.
Ukiangalia mambo yanavyoenda, kuanzia pitishwa pale Dodoma , unaweza jua kwamba ,kipo kikundi kinacho buruza mamlaka hii ya urais.
Angalia mpaka sasa kwa kesi ya Lissu yanayoendelea , utajua tu kwamba ni mamlaka ya watu wachache kujimilikisha Taifa kupitia Mgongo wa ikulu.
Wenda mama yetu ametekwa sie hatujui japo lawama zote kwake.
Kuna viongozi wamelalamika namna ya kumuona boss wao ambae ni rais ila hatujaliweka manani kabisa .
Rais wetu wenda ametekwa na kupangiwa cha kufanya ? Ni maoni yangu , wewe mdau unasemaje kwa hili?
Karibu kwa mjadala wakuu
Deep state....Kumbe mkuu, funguka kidogo mkuu wangu ikikupendeza lakini sio amri
Umemuona akimfukaza Ndugai, aliwatoa Lukuvi, Kabudi, polepole, Makonda, Jerry Slaa, Kuondoa nguvu ya Majaliiwa, Dr Mpango,.Wakuu hamjambo wote hapa jf ,niwasalimu kila mmja kwa imani yake.