Sir-mganah
Member
- Jul 17, 2011
- 58
- 11
Wamezoea vya kunyonga vya kuchinja vimewashinda, sasa badala ya kupitisha rasimu ya katiba iliyopelekwa na tume ya katiba iliyofanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja kukusanya maoni ya wananchi, bila kujali hayo yote pamoja na gharama kubwa ambayo taifa limeingia leo naccm wanakuja na rasimu mbadala iliyotenegenezwa chumbani na wahuni wachache wasioitakia mema nchi hii.kweli hiili halivumiliki kabiza hata kidogo.
uoga wa ccm unaonesha wazi jinsi ambavyo wamedhamiria kuichinjia baharini rasi mu ya time na kupachika ya kwao na hili ilinadhihirisha kwamba hawako tayari kuipitisha katiba hii.
hili linaweza kuangaliwa tangu kuanza kwa mchakato huu ambapo aliyekuwa waziri mzigo wa sheria na katiba wa jmt bi. selina kombani alinukuliwa akisema serikali haipo tayari kwa mchakato wa katiba mpya na wala hakuna fedha za kufania mchakato huo na baadae kufuatiwa na mwanasheria mkuu wa tanzania jaji fredrick werema alinukuliwa akisema kuwa hakuna haja y a katiba mpya kwani hakuna jambo la msingi hadi kufikia kuandika katiba mpya,.
baada ya mh. rais kuonesha dhamira yake kuandika katiba mpya viongozi wengi wa chama cha mapinduzi walionekana kupinga vikali hatua hiyo na ndipo wakaanza kuijpanga namana ya kuichakachua na kuikwamisha.
leo hii wanakuja na msimamo wa chama ambao ni kinyume kabisa na maoni ya wananchi na kutaka kuilazimisha kwa kuipa jina eti la kile kinachoitwa rasimu mbadala. kiukweli hii sio rasimu mbadala bali ni rasimu mkabala iliyotengenezwa ili kuua ndotoo za watanzania hili halikubaliki na ni ubakaji wa demokrasia.
mwisho nawapongeza UKAWA kwa kujitambua na kuamua kuondoka katika kikao cha ma ccm na tunasema kamwe hawatafanikiwa kuwadhulumu watanzania haki zao,......................................... NISU KARNE YA UONGO SASA KWISHAAAAAAAA