Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 409
Ahsante mpendwa Mungu ni mwema my dearPole sn...mungu akusaidie ujifungue salama
Ahsante mpendwa Mungu ni mwema my dear
Wakuu habari za mishughuriko..
Bila kupoteza muda naomba ushauri wenu, najua humu ndani kuna madaktari na wenye uelewa juu ya afya ya uzazi.
Nina ujauzito wa miezi minne, awali ya hapo ujauzito wangu ulipokua na mwezi mmoja nilisumbuliwa sna Na ugonjwa wa kutoka uchafu ukeni Kama mtindi. Nikaenda bombo nikapewa Amoxylin na dawa za kutumbukiza ukeni lakin hali ikaenda nikamaliza doz baadae ugonjwa ukajirudia tena, nikapewa dawa tena lakini namshukuru Mungu nikapona kabisa....
Wasiwasi wangu ni hz antibiotics nilizo kunywa je! Hazita niletea madhara kwa mtoto alieko tumboni maana mimba yangu ilikua changa sna nikaugua ugonjwa huu.
Naomba wataalam mnipe ushauri dadaenu maana nawac wac nisijezaa mtoto mlemavu.
watu wanaogopa kuchunguliwaIngekua vizuri zaidi ukamuuliza dokta ana kwa ana.
Pia wajawazito wawe na tabia ya kupima magonjwa mara kwa mara maana ugonjwa ukiulie kipindi cha ujauzito utakuja msumbua mtoto akizaliwa.
watu wanaogopa kuchunguliwa
Nimekuelewa sana Daktari.Uchafu kama mtindi kutoka ukeni inaitwa candidiasis, inasababishwa na fungus (candida albicans), na huwa inayobitiwa mara nyingi kwa topical antifungals ambazo unaweka ukeni...huhitaji antibiotics kwa hilo tatizo kwani si bacterial infection, unless kama daktari amenote co-infection ya fungus na bakteria.
Candidiasis hutokea sana kwa wanawake wajawazito kutokana na mabadiliko ya vaginal PH, Dr hakupaswa kukupa Amoxycillin.
Hata hivyo dawa za familia ya Penicillin (Amoxycillin ikiwepo) huwa hazina madhara kwa mimba changa hata watoto wachanga.
Ikitokea Candidiasis tena mchallenge Dr kama akikupa antibiotics, unless awe na sababu ya msingi.