GE2025 Wasira: Taifa halijagawanyika, anayefikiri limegawanyika, yeye mwenyewe ndiye amegawanyika

GE2025 Wasira: Taifa halijagawanyika, anayefikiri limegawanyika, yeye mwenyewe ndiye amegawanyika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Taifa halijagawanyika… anayefikiri limegawanyika, yeye mwenyewe ndiye amegawanyika…” - Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, akielezea hali ya siasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.

 
Nyara toka hifadhi ya Gombe nayo inapiga chafya. Pumbavu kabisa
 
Taifa haligawanyiki kama kwenye tetemeko la ardhi.
Hapa tulipo tumegawanyika kuna tunatiki, kuna no reforms no election na kuna kulinda kura.
 
Back
Top Bottom