wadau wenzangu naomba munisaide,nini cha kufanya au nipotezee?
TRA wamenipigia simu kwa ajili ya interview trh 11.09 pale PTA77.
Mpaka sasa kwenye email yangu hakuna inbox ya barua waliyosema watatuma ,pia kwenye physical address patupu.
nikawa nasubiri scenario kama hii ya wahanga wengine kama wapo,naona kimya au ni peke yangu? kama vipi nisiwachoshe TRA nichukulie walikosea kunipigia?
Mchango wenu wadau wa kifikra nauhitaji.