Kwa hiyo unaniambia na wale wanaouawa na wake/waume zao wamechelewa kufa zaidi ya wanaoamua kutooa/ walioachika?
This type of study is a shame to academia.
Kuna watu fulani si marriage material na washajijua na hawataki kuwapa wengine shida, hao nao unataka kuniambia watakuwa na maisha marefu kwa kuwa katika ndoa na kupigizana kelele kila siku?
wewe lazima utakuwa ni MSEJA! Naona unaofia kufa mapema. Ingekuwa vizuri nawe ukaja na tafiti inayoonyesha jinsi unavyotaka.