Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,297
- 31,041
Huyo Mungu aliumbaje binadamu wenye uwezo wa kukataa uwepo wake?Kukataa uwepo wa Mungu ni ugonjwa wa akili na kiburi kilichoshindikana.
Thibitisha uwepo wa huyo Mungu na si mawazo yako ya kufikirika tu.Akili kushindwa kujua Mungu ni nani, ni nini, alitoka wapi, anafanana je, aliumbaje ulimwengu - haimaanishi kuwa hayupo -
Huyo Mungu angekuwepo kweli Kusingekuwa hata na haja ya kuhoji uwepo wake.ujinga sio sababu ya kukataa ukweli. Binadamu tutahangaika sana, tutajitutumua sana, tutaamini sana hizo bongo zetu ambazo mwisho wa siku zitaoza..lkn ndani mwetu kila mtu anajua Mungu yupo. Hata kitendo cha kuanza kupata mawazo kinzani kuwa yupo au hayupo ujue tayari yupo...asingekuwepo pasingekuwa na mawazo ya kujustfy kutokuwepo kwake.
Kama hiyo nguo nyeupe ipo na inaonekana kabisa ipo, Wala haihitajiki maswali ya kuanza kuhoji rangi yake.Mtu huwezi ukaanza kudebate whether nguo ni nyeupe wakati unaona kabisa na nyeupe...watu mtaanza kubishana nguo ni nyeupe sababu wote hamjui rangi nyeupe ni ipi au hiyo rangi mnayoibishia hamuielewi na hakuna mtu abayeijua..room ya ubishi inaanza pamoja na kuweka misimamo ya kujitia matumaini.
Ok sawa umeshindwa kujua umbali. Kwa nijuavyo Mimi umbali hauna mwisho ndo sababu Kuna magalax mengi yanaendelea huko.Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Hata huyo muumbaji wa kila kitu lazima awe ameumbwa.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetoka sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.
Hivyo hivyo to infinity...
Yani kutakuwa na waumbaji endless.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza tu chenyewe pasipo kuumbwa, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje kuwepo pasipo kuumbwa.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina muumbaji, Hata Ulimwengu Hauna na Hauhitaji Muumbaji.
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu kabla ya kumhusisha na kifo.Unajaribu kumuweka Mungu katika hisia za kibinadamu naona.Kwani wewe nani alikuambia kifo ni adhabu??Mtu akifa tunaumia sababu amekufa au tunaumia sababu hatutamuona tena?? Kifo ni nini hata kiingiliane na uwepo wa Mungu.
Kutokujua baada ya kifo kinafuata nini, Kuna uhusiano upi na uwepo wa huyo Mungu?Kama ukijua mtu akifa nini kinafuata then unahaki ya kumlaumu Mungu..lkn nina uhakika 1000% hujui kuna nini baada ya kufa , lkn unalaumu watu wanakufa.
Kutotaka mtu asife, kuna uhusiano upi au kuna dhihirisha vipi, na kuthibitisha vipi, uwepo wa huyo Mungu?Kifo tu kinaonesha how limited human beings are : unampenda mtu l, hutaki aondoke but huna cha kufanya au kuzuia..uwe na pesa usiwe na pesa, tajiri, Rais...HUNA cha kufanya - we are defenseless kabisa.Sasa kama tunashindwa kutatua hilo tatizo dogo tu ndo unafikiri akili hizohizo ndo zitamuelewa Mungu kweli???
Umbali hauna mwisho, kwenda wapi?Ok sawa umeshindwa kujua umbali. Kwa nijuavyo Mimi umbali hauna mwisho ndo sababu Kuna magalax mengi yanaendelea huko.
Hakuna Muumbaji aliyeumba Universe na vyote vilivyomo ndani yake.Umesema Kama tumeumbwa hata muumbaji atakuwa ameumbwa. Sasa Kama ameumbwa wewe kinachokuchanganya Ni Nini?
Kuamini unaweza kuamini hata uongo na wala hukatazwi kuamini hivyo.Upande wetu wakristo tunaamini alietuumba naye aliumbwa vilevile. Lakini ndo hivyo katuumba hata Kama aliumbwa.
Za kuambiwa changanya na za kwako😀😀Sasa kama katokeo from no where, kwa nini wanalazimisha sisi tuwe tumeumbwa? 😂
Hakuna kitu kiliweza kuwepo bila kuumbwa.Umbali hauna mwisho, kwenda wapi?
Maana umbali ni kutoka point moja kwenda point nyingine.
Kama hiyo point nyingine ipo na ndio unajua unakwenda huko, Je huo ni umbali usio na mwisho?
Hakuna Muumbaji aliyeumba Universe na vyote vilivyomo ndani yake.
Universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Hakuna Muumbaji yeyote yule, Aliyeumba chochote kile.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo na wala hukatazwi kuamini hivyo.
Hata ukiamua kuamini tuliumbwa na ma Aliens 👽 ni haki yako ya kikatiba kabisa kuamini hivyo.
Ila Ukianza kudai kwamba imani yako ina Ukweli lazima uithibitishe na utoe uthibitisho wa hiyo imani yako,
Ili tuhakiki, Je ni kweli hicho unacho kiamini kilituumba kweli au uongo.
Maana imani ni nyingi sana kuhusu kuumbwa kwa ulimwengu na kila mtu ana amini kwamba imani yake pekee, ndio imani ya kweli.
Sasa ili tujue ipi ni imani ya kweli au uongo lazima uwepo uthibitisho usio na mashaka yeyote kila mtu ajue kwa uhakika kabisa ni nini kiliumba ulimwengu.
Na wala sio kuhitaji imani tena, kuendelea kuamini.
Nje ya dunia ni mpangilio wa sayari nyingine hana cha mbingu wala niniUsiwe unakurupuka kujibu tafakari swali kwa umakini then ujibu. Umefikiri kwenye dunia hujafikiri nje ya dunia hii au na huko Ni kwa kufikirika pia?
Nje ya dunia ni mpangilio wa sayari nyingine hana cha mbingu wala nini
Dunia ni duara haina mwisho ila kwa wenye imani wanasema kuna mwisho wa duniaNdio wanaita universe. Je inamwisho? Ndo lilikuwa swali langu
Upo mwisho wa dunia lazima. Kama mwanzo wa dunia upo na mwisho piaDunia ni duara haina mwisho ila kwa wenye imani wanasema kuna mwisho wa dunia
Hii tunaita myth...mwisho wako wa dunia ni siku utakapokata moto tukuimbie parapanda na kula wali maharageUpo mwisho wa dunia lazima. Kama mwanzo wa dunia upo na mwisho pia
Weee Mungu yupo mimi nimemuonea sana mbona!
Umemuonea Mungu?Weee Mungu yupo mimi nimemuonea sana mbona!
Hivi Ni nani mtunzi wa maneno malaika, kuzimu, peponi, edeni nk. Na maneno haya kuwa maarufu hivi? Dhambi, amri za Mungu, kuungama, nk. Bila Shaka yupo penda usipendeHii tunaita myth...mwisho wako wa dunia ni siku utakapokata moto tukuimbie parapanda na kula wali maharage
Ni script tu kama mama aliyoigiza royal tourHivi Ni nani mtunzi wa maneno malaika, kuzimu, peponi, edeni nk. Na maneno haya kuwa maarufu hivi? Dhambi, amri za Mungu, kuungama, nk. Bila Shaka yupo penda usipende
Haya baba scriptNi script tu kama mama aliyoigiza royalvtiur
Daah wee mtuMUNGU akamshindwa shetani akaona atupe ss wanadamu tupambanee nayeee🤪🤪🤪🤪
Ww kuwezaaa...