John Masonga
Member
- Oct 6, 2015
- 14
- 1
Mimi nataka kuhusu hii sera ya mabadiliko ya serikali, je hawa ndugu zangu ambao matumizi yao hayana control yani hawana kupangilia bajeti kwenye matumizi yao je na hao pia wanahitai mabadiliko? hivi unakuta mtu ana laki moja mchana halafu hadi saa tatu usiku hana hela anaamka asubuhi hela ya chai hana kwa matumizi mabaya kama hayo je kuna sababu ya mtu huyo kudai mabadiliko wakati yeye mfujaji wa hela ovyo? tujadili wadau