Wasimamizi wa mtihani wa Mock 4m 2 wamelipwa 3600 siku

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Huku Rufiji ni swala lakusikitisha sana,eti viongozi ambao pia baadhi yao ni wakuu wamashule wanakaa nakukubaliana kuwa msimamizi alipwe 18000 na msimamizi mkuu ni20000 kwa wiki.Hivi tunakwenda wapi sisi walimu,chakusikitisha zaidi wasimamizi wakuu wameandika ripoti lakini wengiwao hawajashauri hata malipo yaongezwe.Walimu tutakomboka kweli,au ni manyanyaso tu.
 
Back
Top Bottom