Wasifu wa Peter Lijualikali

Tangu uhuru, CCM ipo madarakani na kuwafanya wananchi kuwa masikini
Tangu atoke marehemu Bob Makani zaidi ya miaka 20 yupo tu madarakani anapiga posho na ruzuku dj zero.
 
Tangu atoke marehemu Bob Makani zaidi ya miaka 20 yupo tu madarakani anapiga posho na ruzuku dj zero.
Tangu 1961 CCM imeendelea kuwanyonya raia wake wasiokuwa na hatia ukiwemo wewe mtetea wezi hapa jukwaani
 
Daaah! Yani kamenizidi darasa moja tu.
 
Tangu 1961 CCM imeendelea kuwanyonya raia wake wasiokuwa na hatia ukiwemo wewe mtetea wezi hapa jukwaani
Unajua kwanza ccm ilizaliwa lini? Au dj zero ndio amekuambia imezaliwa 1961?
 
Unajua kwanza ccm ilizaliwa lini? Au dj zero ndio amekuambia imezaliwa 1961?
CCM na wewe mtetea wezi mumewadhulumu sana raia haki zao tangu nchi inapata uhuru, Mungu atawapawa adhabu mnayostahili
 
Siasa majitaka zimesha anza!

Akiwa CHADEMA CV haina umuhimu akiondoka CV inakuwa muhimu sana!
 
Chadema wengi elimu yetu ni ya β€˜hapa na pale’, sisi ni masela wanaharakati.
 
Mark Zuckerberg na bill gate hawana degree lakin angalia legacy waliyoiacha
 
Ukimuhangaikia mtu ndo umtumie utakavyo? Binadamu wa ajabu sana mwachen kijana afanye atakavyo mradi awe anasema kweli
 
CHADEMA yenyewe ndo akina MSIGWA ?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kumbe hata Nyalandu alisingiziwa?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
CCM nayo ndo akina Chenge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Siasa Kituko.
 
Mwenye CV ya Lijualikali naomba aiweke hapa. Nahitaji kumjua huyu kijana. Vijana wengi wanakosa fadhira. Sielewi shida ni nini? Elimu au?
He has been a strong servant... Kilombero sio nyepesi

Dogo sacrificed well
 
Hawa ndezi watalia milele na milele Mama hana shobo bao
Lijualikali,
Na kile kikaka kilichocompete na Sio sumari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…