Wasifu wa Ally Salum Hapi


Jamaa alikuwa kichwa class
 
Yaan ,dah ..technolojia ni nomaaaa.........kumbukumbu Murwa
 
Sikonge,

Mchungaji mwenyewe povu linamtoka akisikia Mwakalebela 2015 ndo mwisho wake kuitwa Mheshimiwa Mark my word



uliingia chaka mbaya pole sana kama ulimhakikishia mwakalebela anaondoka na kiti saiv mnatafutana kwa tochi.
 
Namkumbuka salum anatudanganya tuandamane kwenda kwenye ofisi ya DARUSO kumng'oa kipara..
kwakweli huyu jamaa atakama anajenga hoja ya kitapeli utamkubali.. yaani tulikuja kubaini utapeli wake baada ya kipara kujitokeza na kujibu kila kitu..tokea siku hiyo Salum alipotea vibaya sana..
 
A level private school, cha msingi huwa ni credit 3 haijalishi za masomo gani. Then unachagua combination unayotaka
 
Ingawa CV yake imekaa kitapeli tapeli ila ni kichwa. Kwa siasa za CCM atapiga sana bao kwenye UDC na anaweza kumfunika Makonda kwa kuwa ana akili kuliko Makonda ingawa Makonda ni mtu wa kujishusha zaidi
 
Nilivyokuwa namuona akikomaa REVSQR nikadhani atakuja kuwa mpinzani na wenzake. aliiona hii fursa kitambo.
Ujasiri,Uthubutu na Public Speaking and persuasion yuko vizuri labda upande wa maadali kitu kinachorekebishika.

His career path shows he is intellectually Smart. Use that for creative,Inovative and productive moves to transform your district.

Kila la Kheri.
 
ukitaka madaraka ccm uwe mnafiki sana utapata ila wew mzee wa kutaka ukweli hutoboi hata cku moja.kila la kheri sapi
 
Dini yake inaingiaje hapo?
 
ww mtoa mada acha unafiki....unapotoa maelezo toa na hint...ushahidi sio unapayuka tu unang'ang'aniiiiiiiiia mara mwaka huu mara mwake ule kachukua hela.alivyoenda kuchukua hela mlikuwa wote?hadi ukaona au weka ushahidi .....physical evidence.jenga hoja acha kupotosha watu kama siasa huijui uliza ama kaa kimya
 
safi sana kijana, ila uje na mawazo mapya (boresha kinondoni hasa kuondoa tatizo la uchafu)
 
Hahahahhaaaaa huyu ndio yule Salum [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakumbuka siasa za revolution square. Nilikuwa sina muda na upuuzi wa wale vijana kwa kweli.

Sijui hawakuwa na lectures na seminars maana kutwa ni kupiga soga pale. Nikienda kula Manzese au Harvard nikirudi wapo, nikiwa nahama venue wapo.

Ila hata uwe pumbavu kiasi gani, kuna siku Mungu atakushushia bahati yako.
Hata punda hana elimu, lakini anapata kazi huku umasaini kwetu, Dodoma analiwa kama kitoweo[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
Mkuu ulipata kusema haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…