Ally Salum Hapi, CCM, Wa Tabora na mpenda short cut, kila kitu kipo pema kabisa.
Infact kwa dini yake na hiyo tabia ana kila sababu ya kufaulu na kwenda mbali sana kisiasa.
Wa Tabora mwenzangu, changamka ule mapema maana ikifika mwaka 2015 unaweza ujikute huna pa kwenda.
Sasa Mwana sheria mzima anajipendekeza, si ndiyo hawa anawasakama Mchungaji Msigwa?
aisee usilete udini ukachafua hali ya hewa, uislamu hautaki wanafiki pia
Hapo umeteleza sheria haina ublahblah tusidanganyane hapa cha maana ni kuwa hiyo degree kaipata kwa aakili yake au kanunua paper? hiyo ni mosi mbili kuna madaktari tumesoma nao hawakufanya vizuri mitihani kuliko walioenda kusoma uchumi na sheria katika mitihani ya o-level hawa jamaa walioenda kusoma social science walifanya vizuri kwenye masomo ya sayansi kama biology na Chemistry kuwashinda hao waliokwenda A level na PCB au CBG wakati mwingine ni utashi wa mtu kutaka awe na taaluma gani yaani anapojisikia yuko more comfortable na ana compassion na hiyo kada
we gwin hukunielewa hii ni kwa sababu unafikiri kwa kutumia uti wa mgongo, nachosema haya masomo yenu hakuna binadamu anaeweza kufeli kinachotakiwa ni kuwa na uti wa mgongo unaofanya kazi vizuri ambao hauajshambuliwa na magonjwa nyemelezi.
...............kuipigania cdm inabidi uvute bangi ................
Sikonge Senkiyu kwa kumwaga ukweli ambao wengi hawataki kuusikia kwa sababu tu hawataki kuukubali.Mie ni wa Tabora na ndugu zangu wengi ni Waislaam. Huwa nawaambia moja kwa moja kuwa huu ni muda wenu changamkieni nafasi kwa tiketi ya udini. Bahati mbaya hali iko hivyo kwa sasa.
Duuuu! Aibu yako ngumbaluSikonge,
Mchungaji mwenyewe povu linamtoka akisikia Mwakalebela 2015 ndo mwisho wake kuitwa Mheshimiwa Mark my word