Wasifu wa Ally Salum Hapi

Elimu ya Tanzania ya sasa ya kununua papers za mitihani siwezi kushangaa kusikia alifaulu hivyo A level kwa masomo ambayo hakusoma O level, na kusifiwa kiasi hicho hapa. Kama alikuwa kichwa kwa nini alishindwa pale Bwiru? Wenye akili wanajua ni game gani alicheza. Na UDSM alipata nini katika achievement yake?
 
Kiukweli huyu kijana ni mpambanaji na ana akili ya ubunifu sana.ukiwa na roho ya kwa nini lazima umchukie mana ana uwezo wa kufanikiwa mahali ambapo wewe huwezi.he can make things hapen
Mkuu hata waliopo sasa wengi wanaakili lakini wameshindwa ku deliver. Nafikiri tatizo la viongozi tulionao na wanaoutaka uongozi ni character. Na watanzania wasasa tuna overlook hiki kipengele sijui kwanini. Anyways namtakia kila la heri.
 
Mtumeeeeee!
kama huyu ndo yupo kambi la membe bilashaka membe kala hasara mana anaweza mgeuka hata yeye pia mbele ya safari ,ila hongera kwa usaliti wako gamba hapi hii itasaidia kuleta ushindi mwepesi kwa chadema.
Usaliti wa magamba ni faida kwetu..
 

Masikini mwenzenu hizo fedha anazopita akihonga wajumbe amezipata wapi? hamuoni aibu japo kidogo?
Siku hizi huko ccm mmebadilisha katiba yenu na kujielekeza kuchagua masikini?
 

hahah huyu kijana namfahamu sana.. alikuwa hampendi kipara kisa yy alikuwa hapendwi zAidi na ccm.
Nimewahi fanya nae harakati hasa za kutaka kumpindua KIPAra lakin mbele ndio nikagundua kuwa na hulka za kisaliti sana..nikamtenga kabisa
 
... huku akiamua kusoma masomo HKL (History, Kiswahili and Language). Ikumbukwe kuwa hakuwa kusoma somo la Historia akiwa ‘O' level lakini alilazimika kulisoma akiwa ‘A' level.
Nijuavyo, Economics pekee ndio huwa tunaikuta "A" -Level bila kuisoma "O"-Level, hasa kwa wale wanaosoma HGE, EGM etc. Sasa twende taratibu hapo kwenye red. Ilikuwaje akajiunga na kombinesheni ya HKL huku somo mojawapo hakulifanyia mtihani wa kidato cha nne?
 

Ni kweli mkuu, Hakusoma HISTORY subject,

kwani ukiwa Technical school unasoma masomo ya ufundi pamoja na
-Mathematics, Chemistry,Geography, Biology, Engineering Science "Physics",English, Kiswahili, na Civics!!

Sasa sijui ni kwa vigezo vipi alienda high school kusoma HKL.
 
social science nayo ukifaulu unaonekana una akili? in social science there is no reasoning and thinking it is just a lip game and jotting down words, you can just do it without your brain.

Hapo umeteleza sheria haina ublahblah tusidanganyane hapa cha maana ni kuwa hiyo degree kaipata kwa aakili yake au kanunua paper? hiyo ni mosi mbili kuna madaktari tumesoma nao hawakufanya vizuri mitihani kuliko walioenda kusoma uchumi na sheria katika mitihani ya o-level hawa jamaa walioenda kusoma social science walifanya vizuri kwenye masomo ya sayansi kama biology na Chemistry kuwashinda hao waliokwenda A level na PCB au CBG wakati mwingine ni utashi wa mtu kutaka awe na taaluma gani yaani anapojisikia yuko more comfortable na ana compassion na hiyo kada
 
Wenye uwezo huwa hawakosi maadui,hawa wanaokesha mtandaoni kuchafua wenzao ni njaa zinawasumbua

Tunachoangalia zaidi ni uzalendo na utu huyu kijana anakosa yoote hayo. ht kama ni kichwa darasani lkn hafai kuongoza. Kwa CCM ni halali yake kabisa na ndio panamfaa 100%. Jitahidi kaka utashinda tu ila CDM usije kabisaa. hapakufai ndg yangu
 
Hizo sifa ulizoziorodhesha ndio zanazotakiwa katika chama tawala CCM.
 

Hapo kwenye nyekundu ndiyo sera mpya ya ccm?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…