Wasifu wa Ally Salum Hapi

Kama Mw. angekua anaangalia Udini na Ukabila usingemsikia
 
anastahiki kuwa mwanasiasa,ukiwa mwanasiasa hutakiwi kuwa muungwana..uwe hodari kuangalia upande upi wa mkate umepakwa siagi,ujue kuepusha mbawa zako..baba yake alikua askari,kwa tabia hizo sidhani kama nae si 'askari'..hivi vyeo hupewi tu
 
Kwa hiyo ana TABIA ZA USALITI ...............!!
 
uzi umeibuliwa' mwacheni kijana apige kazi
 
uzi umeibuliwa' mwacheni kijana apige kazi
 
S Sisi ndugu zake Ben saa8 tunamdai ndugu yetu wakiwa hai hadi kizazi cha nne. HAPI NA MAKONDA MTALIPA DAMU YA BEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…