Kardinali ambaye hatasahaulika katika Afrika, Tanzania na Ziwa Magharibi ni mhashamu Ta Kardinari Rugambwa. Hakuna mtu anaweza rekordi hotuba yake yeyote lakini watu watahesabu maendeleo aliyoletea Ziwa Magharibi kwa kujenga shule, hospitali na vyuo.
Alipohamishiwa Dar aliendelea na kazi zake za kuleta maendeleo kimya. Huyu ndiye aliyekosakosa kuwa papa wa kwanza Mwafrika. Rugambwa hakupenda maneno bali matendo.