Sirro ni kamanda mkubwa.
Bila shaka atakuwa anamiliki shahada ya kwanza
Ana uzoefu mkubwa kwenye kazi yake kama alivyosema yeye mwenyewe juzi kuwa yeye ni kachero mzoefu.
Ukiona mtu ana cheo kwenye haya majeshi ujue ni kweli anastahi na wala hutakiwi kuhoji. Kuna sehwmu za kufoji vyeo ila sio kwenye majeshi..
Kwa hiyo sirro ni kamanda wa uhakika mwenye uzoefu na kazi yake.