Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Mkuu siku zote wanaume watata hupata wake waungwana sana and vise versa! Fanya ka utafiti kasiko rasmi utajiridhisha na hilo.
 
Ile

Ile alidanganya alivyoenda Kule. Si unajua mambo ya magumashi magumashi
Hamna bwana, yaani adanganye hadi kitanda na dirisha alilovunja!? Hiyo nakataa kabisa mkuu, mleta UZI kaisahau tu hiyo shule ya Katoke kuiweka humo
 
Ukiangalia CV ya Mkulu utagundua kuwa hakuwahi kufanya kazi uraiani kwa muda mrefu. Inaonekana ni kama amefanya kazi miaka 2 au 3 tu then akaukwaa Unaibu Waziri.

No wonder inaonekana kuwa na mapungufu kwenye social skills ..................!!
 
Nimekuuliza swali dogo tu unadhan Kilimo ni rahisi?
Kilimo kina ugumu gani kama sio uvivu tu wetu wa kupuuzia mambo...kilimo kimetukuza wengine mpaka tumesoma mpaka vyuo vikuu..tatizo lako liko wapi
 
Hahahahah kiboko ya mafisadi, hahaha...!!!!
Hapa sindano imekuingia nywiiiiii...ukitaka kujua hili muulize mzee mamvii..atakusimulia kilichomfanya awaambie wapinzani wenzake SHUT UP..!!! Hahahaha..
 
Halafu mnasema Uhuru wa habari umenyimwa,hii ndiyo kazi ya mitandao.
Msisumbue watoa maoni maana mkiguswa [emoji90] mnatokwa povu[emoji36] [emoji36] kubwa[emoji87]
 
Hata urais pia inabidi vijana wagombee manake haihitaji experience
 
Huko koote alikuwaa antumia lugha ipi kujifunza kuongea najamii mpaka akafikia kukwama kujibu swali akasaidiwa na Mu7[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji218] [emoji196] [emoji200]
Tu rimuvu fridomu ov woti[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hivi nikweli alikuja bongo akiwa ametokea nchi jirani?
Au huyu dogo anatuzingua[emoji38] [emoji12] [emoji12] [emoji85]
 

Mwaka 1991 &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; 1994, alisoma Shahada ya Uzamili (Kemia) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na baadaye Chuo Kikuu cha Salfordnchini Uingereza.
Kama huyu mtu alisoma Masters Uingereza na bado hawezi kuongea sentensi moja ya Kiingereza basi huyu akili yake imejaa matope siyo Ubongo....

Na hivi alisoma kweli chuo hicho au alitunukiwa cheti cha chuo hicho? Maana kwa mfano pale IFM kuna watu wanatoka na degree za Dublin Institute of Technology(DIT) cha Ireland, kama hujajua ukiona vyeti vyao unaweza kudhani kweli waliondoka TZ wakaenda kusoma huko, shida watakushangaza hawawezi kuongea sentensi hata moja ya English
 
Anaongea ila anachanganya na kihutu
 
Ukiangalia CV ya Mkulu utagundua kuwa hakuwahi kufanya kazi uraiani kwa muda mrefu. Inaonekana ni kama amefanya kazi miaka 2 au 3 tu then akaukwaa Unaibu Waziri.

No wonder inaonekana kuwa na mapungufu kwenye social skills ..................!!
Graph ya ukuaji wake inaonesha is like alikuaga shushushu so ni kama alikua anatumwa kwenye special missions, akimaliza tu anahamishwa; that is my mtazamo regarding his growth carrier, I stand to be corrected!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…