Mi nasifiaga hadi huwa anakibofu kizuri lkn hanipi! Nishamsifia mpk seli zake za damu lkn ndo kwanza ananiambia "kenzy we kaongo" haitoshi nishamsifia hadi vichunusi vyake kuwa vinaota kwa mpangilio nikajibiwa "toka hapa!"
Mwengine nikamsifia mpk jipu lake kuwa limeota pazuri! Nilipigwa na sufuria lilikuwa na dawa yake ya kujikandia na jipu lilikuwa limeotea kwapani..