Wasichana wawili wa kazi

Wasichana wawili wa kazi

JMBONDE

Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
5
Reaction score
0
Naitwa Ustafhi Ally nipo babati.kuna mabinti wawili wameniomba niweke tangazo lao kuwa wanatafuta kazi za ndani.mshahara 35000 kwa mawasiliano piga 0714121228.
 
Naitwa Ustafhi Ally nipo babati.kuna mabinti wawili wameniomba niweke tangazo lao kuwa wanatafuta kazi za ndani.mshahara 35000 kwa mawasiliano piga 0714121228.

Ni wazuri wa sura ??? Umri wao???
 
Nahitaji ila nauli ya kutuma sina..wako tayari kuja dar wakifika niwarudishie nauli?
 
Nahitaji ila nauli ya kutuma sina..wako tayari kuja dar wakifika niwarudishie nauli?

Mdau usithubutu
Huyu ni mwizi
Mi keshanitapeli ku****ma huyu
 
Attachments

  • 1443293859068.jpg
    1443293859068.jpg
    51.4 KB · Views: 256
  • 1443293890534.jpg
    1443293890534.jpg
    59.8 KB · Views: 223
  • 1443293929589.jpg
    1443293929589.jpg
    57.6 KB · Views: 221
  • 1443293953979.jpg
    1443293953979.jpg
    58.1 KB · Views: 223
Xooom mpuuzi sana huyu.😱😱😠😠😠👮👮👮👮🚨 police inamuhusu
 
muwe MUNAKUJA WENYEWE MIKOANI HUKU KUWACHUKUA MIMI NITAWASAIDIA KUWAUNGANISHA MAANA WENGI WA HAWA WADADA HAWATAKI KAZI HUKU MIKOANI WANAPENDA DAR ES SALAAM
 
Naona mnafake fake tu. upewe nauli kaz ya baba ako. Tumia nauli yako utarudishiwa na bosi
Jifunzen mfumo wa serikali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom