Wasichana wasiende Uarabuni kufanya kazi, Waarabu wengi ni makatili

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,717
29,073
Mzuka wanajamvi.

Hii video nimeipata Facebook. Ni msichana wa kazi Saudi Arabia nadhani kutoka kenya kwasabab ya lafudhi yake. Anajirekodi huku anakimbizwa na waliomuajiri akidai anataka kumuua. Inahuzunisha.

==============

Mwanadada Huyu Ambaye Uraia Wake Ni Mkenya Lakini Kwa Sasa Nchini Saudi Arabia Kikazi Alishare Video Hii Katika Ukurasa Wake Wa Tiktok Huku Akikimbia Kuwa Kuna Mtu Toka Family Anayofanya Kazi Anamfatilia Anataka Kumuua Na Anapigwa Sana Na Kunyanyaswa Huku Akitumikishwa Kazi Nyingi Ambayo Ni Juu Ya Uwezo Wake! 😳😳

Mwanadada Mpambanaji Aliyejitolea Kwenda Kupambania Ndoto Yake Nchi Za Watu Una Ushauri Gani Kwake Juu Ya Ilo? Weka Hapa Mtizamo Wako

Pamoja na Ubaya wa Waarabu kama anavyosema Shekh Mwaipopo nina uzoefu na hawa wanaoenda kufanya kazi Saudia, Oman na UAE

Wengi ni wale wadada walioshindikana nyumbani kwao wengi zaidi ni Single mazas.

Kundi hili kwa asili yao ni wavivu wa kufanya kazi wanapenda mtelezo.

Yaani unakuta Mwanamke hata kwao hapiki, kufagia wala kuosha vyombo.

Ila anadhani akienda Huko Ulaya maisha ni mteremko(akili za wavivu). Sasa anapokuta huko mambo ni kinyume na matarajio ndio huanza ujeuri na kuamini kwamba anaonewa na kuteswa.
 
Mpuuzi sana huyo sheikh
 
Mbona ulaya hamna haya mateso? Wangapi ulaya wameshindikana wanapewa msaada na haki za binadamu? Mwarabu ni katili tu na minafiki.
 
Pamoja na Ubaya wa Waarabu kama anavyosema Shekh Mwaipopo nina uzoefu na hawa wanaoenda kufanya kazi Saudia, Oman na UAE

Wengi ni wale wadada walioshindikana nyumbani kwao wengi zaidi ni Single mazas.

Kundi hili kwa asili yao ni wavivu wa kufanya kazi wanapenda mtelezo.

Yaani unakuta Mwanamke hata kwao hapiki, kufagia wala kuosha vyombo.

Ila anadhani akienda Huko Ulaya maisha ni mteremko(akili za wavivu). Sasa anapokuta huko mambo ni kinyume na matarajio ndio huanza ujeuri na kuamini kwamba anaonewa na kuteswa.
Blaza una shemeji huko arabuni au?
 
KWa hiyo uonavyo wewe hilo la dada kudai kuwa boss wake anataka atumikishwe kwenye nyumba tatu nalo ni uzushi?
 
Mzuka wanajamvi.

Hii video nimeipata Facebook. Ni msichana wa kazi Saudi Arabia nadhani kutoka kenya kwasabab ya lafudhi yake. Anajirekodi huku anakimbizwa na waliomuajiri akidai anataka kumuua. Inahuzunisha.

View attachment 2901347

Waarabu na Ngozi nyeusi ni kama Dugu Moja, we are not civilized.
 
Pamoja na Ubaya wa Waarabu kama anavyosema Shekh Mwaipopo nina uzoefu na hawa wanaoenda kufanya kazi Saudia, Oman na UAE

Wengi ni wale wadada walioshindikana nyumbani kwao wengi zaidi ni Single mazas.

Kundi hili kwa asili yao ni wavivu wa kufanya kazi wanapenda mtelezo.

Yaani unakuta Mwanamke hata kwao hapiki, kufagia wala kuosha vyombo.

Ila anadhani akienda Huko Ulaya maisha ni mteremko(akili za wavivu). Sasa anapokuta huko mambo ni kinyume na matarajio ndio huanza ujeuri na kuamini kwamba anaonewa na kuteswa.
Usitujanganye bhana warabu wanajulikana kwa ukatili wao dhidi ya watu weusi..

Kisaikolojia ukiwekwa na watu wageni tena sehemu mpya akili yk inajibusti automatic tena na mshahara unapewa mzuri kwanini ukimbie kazi..

Inafahamika asilimia kubwa ya dada zetu waoenda huko ugeuzwa kuwa watumwa kupitiliza na kutumikishwa kingono na wenyenyumba na ikitokea mother house akafumania au kugundua binti kukataa kunyanyaswa kingono ndio ukumbwa na mabalaa hayo ya kuumizwa au kuuwawa..
 
Back
Top Bottom