Bandugu igwee!!
Kweli kama sio haya mavazi ambayo wanawake na wasichana wanayavaa kujisitiri kiukweli usingetamani hata kukutana nao.
Unakutana na binti mzuri kweli kweli usoni na chura anayo, kavaa na kimini chake au suruali yupo poa, ngoja avue sasa hizo nguo utakimbia. Duh zile sehemu zinatisha balaa.
Je, hii ni kwangu tu ndo naona hivi au kwa wanaume wote?