sr bachelor
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,198
- 800
Kwa kweli kuna mademu wengine hawaeleweki kabisa
ivi inakuaje unamtongoza demu anakukatalia alafu unahamia kwa rafiki yake na rafiki yake anakupa tick na vema juu, alafu yule aliyekataa anaanza kuunguza picha ? Hii inasababishwa na nini, kama umekataa si upige kimya tu, dah
Kwa kweli kuna mademu wengine hawaeleweki kabisa
ivi inakuaje unamtongoza demu anakukatalia alafu unahamia kwa rafiki yake na rafiki yake anakupa tick na vema juu, alafu yule aliyekataa anaanza kuunguza picha ? Hii inasababishwa na nini, kama umekataa si upige kimya tu, dah
mkuu kama ulikuwepo mwenzake kakolea mbaya yaani, ila rafiki yake ananipaka kinoma yaani, mimi maskini, nnamademu wengi, dah, nima sanahakuna zaidi ya wivu mkuu, sasa ukitaka kuona jinsi muvi inakuwa nzito ni huyo mtt aliyetiki uwe umemchamba roho yaan kakuelewa sana, mwisho wa siku hao mademu watagomba 2 we niamin mm, labda kama mtt hujamchamba roho.
nawewe kwanini ukaombe kwa mtu na rafiki ake?
mi ndo ningekuwa huyo dem wala sikuoneshi wivu napiga tu U- turn break kwa kaka ako
hukuona madem wengine hadi huyo shemeji ako? mtu kama wewe yani unatakuwa kupigiwa u-turn kwny familia yakoni long story, ila mara nyingi nlikua nikiwasiliana nae nkimpigia, nkimuwatsupp alikua na huyo rafiki yake, kwa hiyo alivyo nipiga cha mbavu, nkajikuta npo close na rafiki yake ambaye tulikuwa hatufahamiani sana, ila anaunguza picha mno dah,
Hawezi kuwa shemu wangu maana alinipiga chini, na nlishakula kona, ila rafiki yake akaja na usenior bachelor wangu nkaendeleza, sioni kama kuna shida hapo au.?hukuona madem wengine hadi huyo shemeji ako? mtu kama wewe yani unatakuwa kupigiwa u-turn kwny familia yako
tumbaku kabisa....
acha akuchafue tu ikibidi akupake na mavi
Hivi evelyn salt umeisha olewa?
Kwa kweli kuna mademu wengine hawaeleweki kabisa, ivi inakuaje unamtongoza demu anakukatalia halafu unahamia kwa rafiki yake na rafiki yake anakupa tick na vema juu, halafu yule aliyekataa anaanza kuunguza picha?
Hii inasababishwa na nini, kama umekataa si upige kimya tu.
yaani kuna watu mkiahama jf patakuwa hapanogi,wewe ni mmojawapo.nawewe kwanini ukaombe kwa mtu na rafiki ake?
mi ndo ningekuwa huyo dem wala sikuoneshi wivu napiga tu U- turn break kwa kaka ako
Embu acha hizo wewe, jf kuna watu wanajidai muchknow sana wakati mwingine.Mbona kwenye heading umesema wasichana halafu kwenye habari yenyewe unasema mademu? mademu ndio nini? na wasichana ndio nini?
Hivi evelyn salt umeisha olewa?