Wasichana na kuumwa tumbo

Wasichana na kuumwa tumbo

free one

Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
14
Reaction score
8
Naomba nipate ufafanuzi kwaabinti hivi shida huwa inakuwa ni nini pale uanapokutana sehemu za starehe na mwanaume kama bar,grocery anataka mkae mule wote, na mnywe wote na mwanaume na kumwambia umaumwa tumbo

Hivi hili kisingizio cha tumbo kwanini ni kwa wanawake,wengi??

Mnakuwa mnamaanisha nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..mwanamke akikuambia anaumwa tumbo means yuko kwenye siku zake.ingawa wengine huwa wanatumia hiyo mbinu kama geresha ya kukunyima k.unachotakiwa kufanya akikuambia hivyo we muombe uingize mkono uguse chu.pi kuhakikisha kama ni kweli.
 
I got an R&B Chick, I got a rap Chick
Call her anime, cause I got a stack Chick
I got a Chick on her period, that's money loss.
 
ukiona kitu kigumu unasema yess. Ila kuna muda wanavaa panty liner
..mwanamke akikuambia anaumwa tumbo means yuko kwenye siku zake.ingawa wengine huwa wanatumia hiyo mbinu kama geresha ya kukunyima k.unachotakiwa kufanya akikuambia hivyo we muombe uingize mkono uguse chu.pi kuhakikisha kama ni kweli.

Emaphakadeni
 
Maumivu huanza pale wewe "mwanaume" unapoonekana kuishiwa pesa za starehe mapema au umelewa sana na una-boa tu.

Mtambue mwenzi wako ni wa namna gani kabla hamjatoka, fanya tafiti kidogo basi, hata ikibidi katika stori mjue-jue basi.

Sio unatika na buku 10 kumbe yeye anaguta k-vant kubwa peke yake kama stata tu. Lazima tumbo limuume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom