Wasichana na hobi za kupenda ndoa

Wasichana na hobi za kupenda ndoa

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
2,378
Reaction score
2,057
Wakina dada mmetokea kuwa na hobbie ya kupenda ndoa, halafu mkiolewa mnaanza kutamani wanaume wasiooa, nipo kwenye uhusiano wa kimapenzi na msichana hatujawahi hata kuonana zaidi ya mawasiliano tu.

Sasa juzi kaniuliza kama nina mipango ya kumuoa japo ni kweli nina mpango huo lakini ninahitaji kumchunguza kidogo ili nijiridhishe maana wasichana wa siku hizi kwa kuigiza? Hawajambo, kila mara story ni za rafiki anaolewa mara juzi nilikuwa kwenye harusi nk.

Mwisho nimechoka na hizo topic nikaamua kumwambia mi sina mpango wa kuoa, ghafla mawasiliano yameanza kupungua.Nikimtext saa mbili atajibu saa tatu na nusu na visingizio viingi, bibie mi sihitaji pritenda.
 
Wakina dada mmetokea kuwa na hobbie ya kupenda ndoa,halafu mkiolewa mnaanza kutamani wanaume wasiooa,nipo kwenye uhusiano wa kimapenzi na msichana hatujawahi hata kuonana zaidi ya mawasiliano tu.Sasa juzi kaniuliza kama nina mipango ya kumuoa japo ni kweli nna mpango huo lakini nnahitaji kumchunguza kidogo ili nijiridhishe maana wasichana wa siku hizi kwa kuigiza? hawajambo,kila mara story ni za rafiki anaolewa mara juzi nilikuwa kwenye harunk. nk.
Mwisho nimechoka na hizo topic nikaamua kumwambia mi sina mpango wa kuoa.Ghafla mawasiliano yameanza kupungua.Nikimtext saa mbili atajibu saa tatu na nusu na visingizio viingi.bibie mi sihitaji pritenda.

Sasa unataka wapende nini?!! Wakipenda hela tu mnalalamika
 
Wewe ni dagaaa kabisa sasa mtaanzaje kuzungumzia issue ya kuoana na mtu ambye hata hamjaonana??
 
Mkuu embu nijuze unamchunguzaje hili hali ujawahi kuonana naye??
 
Hawa wasichana wa siku hizi ukitaka kuwagegeda wambie ninafuture nawewe na nitakoa atavua kirahisi.
 
Kwani kisudi la Mungu kumwumba mwanamume na mwanamke si kiishi pamoja yeye kuwaza ndoa ni sahihi mimi siwezi kukaa na mtu kwa hasara eti unanichezea tu lazima malengo ya mahusiano yetu yajulikane from day one na sio vinginivyo.Katika utafiti wangu mdogo tu nimeona wanaume ambao hawana msimamo,hawaeleweki misimamo zero,malengo yao ni hela tu bila kuchanganya vyote kwenye mpango kazi wao wa maisha huwa hawafiki mbali kimaisha wanaishia kulalamika tu huku JF.
 
We na huyo future wife wako wote fyatu....
Anauliza ndoa hajawahi kukuona, unamchunguza hujawahi kumuona huu sio utaahira huu
nilimaanisha nikutane nae kwanza tufahamiane vizuri hapo ndio angeweza kuniuliza ningekuwa na jibu sahihi.
 
baada Ya kutambuana kwamba wote ni binadamu maana sikuhizi kuna ma roboti pia kwenye media hizi,Tatizo watu mna coment utadhani nimeua.
 
Mkuu embu nijuze unamchunguzaje hili hali ujawahi kuonana naye??
nilimaanisha kipindi Nitakapo muona ili niweze kuimarisha hata uhusiano wenyewe nimfaham japo kwa ufupi tu hayo mengine yangekuwa makubaliano.
 
nilimaanisha nikutane nae kwanza tufahamiane vizuri hapo ndio angeweza kuniuliza ningekuwa na jibu sahihi.

baada Ya kutambuana kwamba wote ni binadamu maana sikuhizi kuna ma roboti pia kwenye media hizi,Tatizo watu mna coment utadhani nimeua.

Haya bwana harusi mtarajiwa kila laheri, ila bi harusi ni mwenyeji wa wapi? Facebook, instagram, au hapa hapa nyumbani jamii forum? Au ulikosea namba? Namie natafuta mchumba
 
We na huyo future wife wako wote fyatu....
Anauliza ndoa hajawahi kukuona, unamchunguza hujawahi kumuona huu sio utaahira huu

Saafi kabisa kabisa, sometimes unahitaji kuwa mkali ili waelewe! Asante sana. Aache upuuzi wake yaaani unatongoza kwenye simu, unakubaliwa kwenye simu, unananihii kwenye simu na mnaachana kwenye simu! Si mapepo hayo sasa?
 
Subirini mkue kwanza wote pompompo tu
 
nilimaanisha nikutane nae kwanza tufahamiane vizuri hapo ndio angeweza kuniuliza ningekuwa na jibu sahihi.

nilimaanisha kipindi Nitakapo muona ili niweze kuimarisha hata uhusiano wenyewe nimfaham japo kwa ufupi tu hayo mengine yangekuwa makubaliano.

Haya bwana harusi mtarajiwa kila laheri, ila bi harusi ni mwenyeji wa wapi? Facebook, instagram? Au ni wa hapa nyumbani jf?
 
Back
Top Bottom