Wasichana: Kumbe ndio maana mnavaa khanga moja!

Sikununu

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
341
100
Hii tabia ya watoto wa kike kuvaa kanga moko na juu blauzi bila bra ndani imetuchosha huku uswahilini,

Yani unakuta mtoto kajiachia njiani na kanga moko ndani ana chu**pi tu tena hizi za siku hizi anatembea kwa madaha na kujishembendua na anajua wewe upo mbele yake unakuja basi anafanya makusudi kuiregeza halafu anaifungua hili aikaze eti, huku mjomba umeshaona jografia yote kuanzia milima na Mabonde maana huyo kiumbe mwenyewe unakuta mashalaah kwenye jografia yake.

Baada ya kufanya uchunguzi nimegundua huu ni mpango madhubuti ili kutupima mihemko sisi wanaume marijari na wenye familia zetu tena hasa pale wanapojifanya wanaenda dukani au sokoni.

Hii tabia imeongezeka sana bila kujali maslahi ya taifa kwamba sisi wengine ni wame za watu na tunaheshimu sana ndoa zetu hata kama zina migogoro

Ni hayo tu.
 
Pumbavu kabisa peleka mada yako kwenye jukwaa lenu la mapenzi.

Angekuwa Pumbavu Na Wewe Kama Si Umalaya Wako Ungeachana Na Mkeo Mkubwa Na Kuchukua Huyo Kimada Wako Wa Kimasai Uliyemkabidhi Ofisi Hapo Nyuma Ya Kebbys Hotel Bamaga? Mbona Na Wewe Ni Bingwa Wa Kulala Na Wafanyakazi Hapo Hadi Unashindwa Kuwalipa STAFF Mishahara Yao? Leo Ile ID Yako Nyingine Yenye Picha Ya Thienry Henry Na Jezi Ya France Waliyoitumia World Cup Ya 1998 Huitumii? Msalimie Mwanao Junior Wa JK Nyerere School Na Majirani Zako Hapo Sea View.
 
Angekuwa Pumbavu Na Wewe Kama Si Umalaya Wako Ungeachana Na Mkeo Mkubwa Na Kuchukua Huyo Kimada Wako Wa Kimasai Uliyemkabidhi Ofisi Hapo Nyuma Ya Kebbys Hotel Bamaga? Mbona Na Wewe Ni Bingwa Wa Kulala Na Wafanyakazi Hapo Hadi Unashindwa Kuwalipa STAFF Mishahara Yao? Leo Ile ID Yako Nyingine Huitumii? Msalimie Mwanao Junior Wa JK Nyerere School Na Majirani Zako Hapo Sea View.

This is too personal....had we reach this level of insultation? Mods Forbid....what the fu.ck is this?
 
Katajwa Mtu Jina Hapo? Wewe Unadhani Sizijui Sheria Za Humu Kama Wewe POPOMA? Itapendeza Na Wewe Pia Ukichukuliwa Hatua Kwa Tusi Lako Hilo Kali Uliloliandika Hapo. Aina Yangu Ya UPIGWAJI MADONGO WA KIMAFUMBO UNARUHUSIWA WORLD WIDE. Ukipinga Haya Maelezo Yangu Basi Usiwe Unasoma Magazeti Ya UCHUNGUZI Na Ya UDAKU Kwani Kiuandishi SIJAHARIBU KITU Na Ndiyo Maana SIJATAJA HATA JINA HAPO Na Atakayejifanya KULALAMIKA Basi Nitajua Moja Kwa Moja Kuwa JIWE LANGU LA GIZANI LIMEMLENGA NA KUMPATA. Kama HAITOSHI Ni Jukumu La Kila Mtu Kujitahidi KUFICHA ID Yako ILI Watu Kama Sisi TUSIIJUE Lakini UNAPOIANIKA au KUIACHA Wazi Na Sisi Wengine Tumejaaliwa MIMACHO MIKUBWA Unategemea Nini? Nipeleke Hata MAHAKAMANI Kwa Hiki Nilichokiandika I am Very Safe. Hivi Huko Shuleni Mlienda KUKUZA Tu MBUPU Zenu Na Siyo Kujifunza KUFIKIRI?
 
Du...
Aisee hii ni hatari...kiustaarabu huwezi kumattack mtu hivi hata kama sheria za JF zinakulinda...jifunze kuwa mstaarabu,haya ni maisha tu...huwezi jua uadui unaoujenga leo kwa watu usiowajua na unaowajua kwa sababu labda ya mali au ujuaji..
Unaweza kukusambaratisha na usipate kabisa wa kukuunga mkono au kukusaidia kwenye maisha baadae
 
Sijui wewe na huyo bwana kama mnajuana au mna ugomvi...ninachopinga ni jinsi ulivyomshambulia kwa madongo yanayoharibu taswira yake...character assasination...halafu mambo ya shule yametokea wapi humu
 
Naomba Unijibu Maswali Yangu Haya KUNTU Ili Nipime UELEWA Wako Nisije Nikawa Napoteza Muda Wangu Na POPOMA LILILOTUKUKA.

  1. Je Katajwa Mtu Jina Hapo?
  2. Ofisi Nyuma Ya Kebbys Wewe Umejua Labda Ni Ipi?
  3. Huyo Mke Wake Na Huyo Kimada Wake Wa Kimasai Wewe Unawajua?
  4. Hiyo ID Yake Nyingine Wewe Unaijua?
  5. Hao Wafanyakazi Anaolala Nao Unawajua Labda Utusaidie Kututajia Hata Baadhi?
  6. Je Wewe Ni Jinsia Gani? au Ni SEMENYA?
  7. Hilo Tusi Ulilotukana Hapo Mwisho Unadhani Mods Wakuache Tu au Na Wewe Sheria Za JF Zinakulinda?
Nasubiri Kwa Hamu Sana Majibu Ya Haya Maswali.
 
Sijui wewe na huyo bwana kama mnajuana au mna ugomvi...ninachopinga ni jinsi ulivyomshambulia kwa madongo yanayoharibu taswira yake...character assasination...halafu mambo ya shule yametokea wapi humu

Mbona La Shule Limekuuma Kama Siyo Kukugusa Sana au Ni Kweli HUJASOMA Mkuu?
 
Angekuwa Pumbavu Na Wewe Kama Si Umalaya Wako Ungeachana Na Mkeo Mkubwa Na Kuchukua Huyo Kimada Wako Wa Kimasai Uliyemkabidhi Ofisi Hapo Nyuma Ya Kebbys Hotel Bamaga? Mbona Na Wewe Ni Bingwa Wa Kulala Na Wafanyakazi Hapo Hadi Unashindwa Kuwalipa STAFF Mishahara Yao? Leo Ile ID Yako Nyingine Yenye Picha Ya Thienry Henry Na Jezi Ya France Waliyoitumia World Cup Ya 1998 Huitumii? Msalimie Mwanao Junior Wa JK Nyerere School Na Majirani Zako Hapo Sea View.

Hahaahahaaa kaka yangu popoma katika ubora wako.
Endelea kunipa raha........
Haya ndio maisha baada ya uchaguzi bwana
 
Leo Ktk Ubora Wangu Dada Hasa Nikiwa Nimepata Kitu Changu Cha Huku Kwetu Mkoani Gitarama Nchini Rwanda. Vipi Nikuletee Na Wewe Nitakaporudi Kwa Mara Ya Kwanza Huko Kwenu Tanzania Tokea Niondoke Mwaka 2005 October au Umeshazizoea Zile Za Longido, R-Chuga Na Tarime? Njoo Unipokee Basi JNIA Jumamosi Saa 6 Mchana Dada Yangu POPOMA. Nikuletee Zawadi Gani Kutoka Huku Rwanda Kwetu Nilipo Sasa?
 
Teh teh teh..imekuchosha wewe Sikununu!..endelea tu kukoroma kama chura!..tuachie sie tutakase!
..tena na mvua zianze,balaa lao wakati wanakinga maji!
 
Last edited by a moderator:
Angekuwa Pumbavu Na Wewe Kama Si Umalaya Wako Ungeachana Na Mkeo Mkubwa Na Kuchukua Huyo Kimada Wako Wa Kimasai Uliyemkabidhi Ofisi Hapo Nyuma Ya Kebbys Hotel Bamaga? Mbona Na Wewe Ni Bingwa Wa Kulala Na Wafanyakazi Hapo Hadi Unashindwa Kuwalipa STAFF Mishahara Yao? Leo Ile ID Yako Nyingine Yenye Picha Ya Thienry Henry Na Jezi Ya France Waliyoitumia World Cup Ya 1998 Huitumii? Msalimie Mwanao Junior Wa JK Nyerere School Na Majirani Zako Hapo Sea View.

Aiseee ngoja niwe msomaji
 
Ngoja Magufuli atafanya ziara ya kushtukiza huku uswahilini ili naye akumbane na maswahibu yanayotukuta

Hahaha tena si kuna siku alikuwa anataka mke wa kizaramo inabidi haje hulu uswazi
 
Back
Top Bottom