Wasichana: Kumbe ndio maana mnavaa khanga moja!

Wasichana: Kumbe ndio maana mnavaa khanga moja!

Teh teh teh..imekuchosha wewe Sikununu!..endelea tu kukoroma kama chura!..tuachie sie tutakase!
..tena na mvua zianze,balaa lao wakati wanakinga maji!

Mama mtu kasharudi nyumbani baada ya kusikia kilio changu tena hapa ndio nmerudi job ananichambua kama karanga huku akinitumbua chunusi, zoezi la kuacha kukoroma nmesharianza tokea wiki iliyopita..

Nikinasa kunitoa kazi ndio maana sitaki hii michepuko
 
Last edited by a moderator:
Huyo kibuzi malika mtazame anavyojitingisha usawa unakaba ndio maana madada wanaaamua Kuwa makahaba.
 
Ngoja Magufuli atafanya ziara ya kushtukiza huku uswahilini ili naye akumbane na maswahibu yanayotukuta
Wewe vipi atapiga marufuku halafu sisi tutakosa chakula cha macho.
 
Mama mtu kasharudi nyumbani baada ya kusikia kilio changu tena hapa ndio nmerudi job ananichambua kama karanga huku akinitumbua chunusi, zoezi la kuacha kukoroma nmesharianza tokea wiki iliyopita..

Nikinasa kunitoa kazi ndio maana sitaki hii michepuko

hahahahahahaha....kumbe yumo humu?..ila mwambie tabia yake ya kusugua gaga na kanga moko akitoka kuoga anatutoa udhu sie!
 
Mhhh haya haya kwa wale wasokua na wake ndo mchague sasa mda huo
 
Umenigusa mkuu ngoja nitilike kidogo,hivi hawa wanawake hawajiulizi kwann wanaume wengi hatupendi suruali za vitambaa? Hakyanani!kama stimu zako siyo za kuboost kama za wazee wa michuzi ya pweza utaabika nakwambia, mbaya zaidi ukute mwanamke ni kisukuma, kihaya, na kinyachusa walivyojariwa miumbo na figures za maana harafu katupia kanga moja ndani patupu "inye gwede gwede"harafu yy hana habari kwanza utazani hapigi hatua pili hilo tako anavyolirusha sasa duuh ni hatalii balaa yaani utazani fuso imekata center bolt utajuta kukutana nae sikufichi mkuu (ttzo la makabira haya wanawake asilimia kubwa wanafanana na babu zao), yaani kama yuko mbele yako punguza mwendo utaaibika ,sasa na sisi wanaume tumebuni suruali dizani mpya kbs kwa mbele hapa kwenye mtalimbo inakuwa wazi stend by kwa action,angalizo! wanaotakiwa kuzinunua ni wale vidume wenye viwango vikubwa cha mihemko yaani hata nyani akikatiza tu yy tayali bunduki iko nyuzi 180 karibuni sana mihemko shop tupunguze hii tabia ya wanawake kututega na vikanga vyao huko mitaani.
 
Du...
Aisee hii ni hatari...kiustaarabu huwezi kumattack mtu hivi hata kama sheria za JF zinakulinda...jifunze kuwa mstaarabu,haya ni maisha tu...huwezi jua uadui unaoujenga leo kwa watu usiowajua na unaowajua kwa sababu labda ya mali au ujuaji..
Unaweza kukusambaratisha na usipate kabisa wa kukuunga mkono au kukusaidia kwenye maisha baadae
Ni mstaarabu sana bado ndio mana hakutaja jina
 
Naomba Unijibu Maswali Yangu Haya KUNTU Ili Nipime UELEWA Wako Nisije Nikawa Napoteza Muda Wangu Na POPOMA LILILOTUKUKA.

  1. Je Katajwa Mtu Jina Hapo?
  2. Ofisi Nyuma Ya Kebbys Wewe Umejua Labda Ni Ipi?
  3. Huyo Mke Wake Na Huyo Kimada Wake Wa Kimasai Wewe Unawajua?
  4. Hiyo ID Yake Nyingine Wewe Unaijua?
  5. Hao Wafanyakazi Anaolala Nao Unawajua Labda Utusaidie Kututajia Hata Baadhi?
  6. Je Wewe Ni Jinsia Gani? au Ni SEMENYA?
  7. Hilo Tusi Ulilotukana Hapo Mwisho Unadhani Mods Wakuache Tu au Na Wewe Sheria Za JF Zinakulinda?
Nasubiri Kwa Hamu Sana Majibu Ya Haya Maswali.
Achana nae anapoteza muda wako haelewi bado
 
He! Kumbe humu tunajuana...Hii sasa hatari,yaani makavu live namna hii...Hapa asipowekewa mtu wanted sijui.
 
Back
Top Bottom