Wasichana jifunzeni, unapiga simu mara nyingi alafu unadai umekosea namba

SPECIAL TMN

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
1,111
803
Habari za mihangaiko wanaJF.

Kuna kitu wasichana itabidi mjifunze binafsi kimenikera sana mtu unamtafuta au unambip zaidi ya mara4 anakupigia anakuuliza in a good way majina yako na sehemu unayokaa unadai umekosea namba kweli safari nne we unakosea tu?

Mtu anaweka vocha yake kukupigia unazingua eti umekosea namba mnaofanya hivyo acheni bora kukosea mara moja, ndo mara4 sasa. Ni hayo tu
 
Sasa Wasichana wanahusika vipi hapo

Siku ingine ujumbe fikisha direct kwa huyo muhusika.
 
Sasa Wasichana wanahusika vipi hapo

Siku ingine ujumbe fikisha direct kwa huyo muhusika.
Kama nifikishe ujumbe kwani me nimemwambia anitafute na kama unasema wasichana wanahusikaje yeye kwanini awe na namba yangu na anisumbue hivyo aniambie tu kama ananifahamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom