Inawezekana kweli kwa kizazi hiki maana dunia inaenda kasiWanawake wa kipind hiki,
Wako tayar kumtunuku kiumbe yeyote penzi ili mradi tu awe nazo PESA.
Ikifika miaka 35,
wanakuja jf kutafuta mwanaume anayepumua tu.
Hii yote inachangiwa na ugumu wa maisha na upungufu wa maadili kwenye jamii zetu
Ndoa ya wawili ama ya mmoja?.Nakubaliana na wewe
kua mwanamke anayo nafas kubwa ya kumchagua mwenza wake KIMAPENZI na ikawa kweli akafanikiwa.
Hii yote inachangiwa na huruma kubwa walionao wanaume wengi kwa wanawake, pindi mwanamke anapokua na hitaji lake kwa mwanamke.
Ila NAKUHAKIKISHIA
Ila linapokuja suala la MWENZI WA MAISHA NA KUJENGA FAMILIA, mwanaume ndio mwamuzi No.1
Na hapa ndipo wanawake wanapofeli ktk kuzichanga karata zao vema .
Muda si mrefu nimesoma hapa jukwaani stori ya jamaa aliyelipiza kisasi kisa kusalitiwa. Kuwa na terms zako haizuii kuchapiwa ikibidiSichaguliwi, nachagua.
Kama I have to sleep with only one woman for the rest of my life and forsake all others, it better be on my terms
Kuchapiwa? Kwani yangu?Muda si mrefu nimesoma hapa jukwaani stori ya jamaa aliyelipiza kisasi kisa kusalitiwa. Kuwa na terms zako haizuii kuchapiwa ikibidi
Mbona kama unaumia kwa niaba yangu?Hahahaaaaa... Ndio utajua hujui
Mtoa mada upo sawa kabisa ..
Dc mstaafu Ole sabaya!! Akupaswa kuishi katika cheo hiki!!
Jaman hii simu inatype nin tena:[emoji850]
Wanakuja JF au wanajazana kwa mwamposa au nabii Enock pale Tangibovu tena jana nilipanda daladala walikuwa wengi wametoka kwa mwamposaWanawake wa kipind hiki,
Wako tayar kumtunuku kiumbe yeyote penzi ili mradi tu awe nazo PESA.
Ikifika miaka 35,
wanakuja jf kutafuta mwanaume anayepumua tu.
Hii yote inachangiwa na ugumu wa maisha na upungufu wa maadili kwenye jamii zetu
Changamoto saNa,Wanakuja JF au wanajazana kwa mwamposa au nabii Enock pale Tangibovu tena jana nilipanda daladala walikuwa wengi wametoka kwa mwamposa