bluecolour
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 201
- 98
hv ulishawauliza na wao pindi unapochojoa na wewe huwa wanasikia harufu gani au unaona upande wao tu!!!!
kila mtu ana pua ujue!!!!
mleta mada hao wako sio wale wa mazense au buguruni ambao wamekuja dar kwa shuguli hiyo maalum? lakini kama demu wa kawaida mbona harufu yake mzuka tu, wale wenye shuguli yao harufu huwa kali maana hawana muda hata wa kulala wala kuogo wanakimbizana na masaa ili asubuhi apige hesabu kulingana na wingi wa wateja.
Loo!na ukome ila kama unampenda
mpeleke hospital ina maana ana maambukizi
ya fangus kuliko kuja kumdhalilisha hapa.Angekuwa dada yako si ungempeleka hospital na kumtibu
@ TEAM Masister duu yawahusu
raha ya mwanamke atoe harufu ya maku,mi ndio hunipa mzuka zaidi.