mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Uwezo kg 7
beand Hotpoint
motor power watt 380
inafua kusuuza na kukamua pia kukausha kwa nguo nyepesi by spin drying
inatumia umeme kidogo sana hata unit mmoja haimalizi kwa kufua kwa muda wa 1hour
ni kwa matumizi ya kifamilia siyo biashara maana mashine za biashara ya dry cleaner zipo.
kama huna maji unaweza kuwa unaingiza kwa njia ya kawaida,
bei 320,000 pungufu tunaongea. mahalidar tegeta wazo.
imetumika lakini bado iko safi kama mpya maana haijatumika sana.
sababu ya kuuza nauza kwasababu nimeamua kuuza kama ambavyo niliamua kununua si kuulizwa sababu.
View attachment 734035 View attachment 734035
