Usiku wa December 28 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 ndio zilitangazwa Accra Ghana, washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa mwaka 2016.
Kama hufahamu WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na WatsUP TV, zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora.
Wametangazwa washindi 22 wasanii na waongozaji wa video 170 waliyokuwa wametajwa kuwania tuzo hizo wakati zinazinduliwa mwezi September 2016, kwa mujibu wa mtandao wa Zionfelix.net ni kuwa washindi watafanya show katika tamasha la Made in Africa litakalofanyika 2017 Accra Ghana.
List ya washindi wote 22 waliyotangazwa
Best Newcomer Video of the Year
Harmonize ft Diamond Platinium ( Badoo)
Best African Reggae Dancehall Video
Shatta Wale ( Chop Kiss ) Ghana
Best Afro Pop Video
Scientific Ft Quincy B (Rotate) Liberria
Best African Hip Pop Video
Iba One (Dokera) Mali
Best African RnB Video
Alikiba (Aje) Tanzania
Best African Traditional Video
Tay Grin FT 2BABA ( Chipapaa ) Malawi
Best African Dance Video
Oudy 1ER (Lokolo) Guinea
Best African Collabo Video
Diamond ft AKA (Make we sing ) Tanzania
Best African group Video
Navy Kenzo (Kamatia ) Tanzania
Best African Male Video
Diamond Platinium ft Psquare ( Kidogo ) Tanzania
Best African Female Video
Vivian Chidid ( Wuyuma) Senegal
Best African Performance
DJ Arafat (Concert a Korkogo) Cote D’Ivorire
Best International Video
Beyonce – Formation (USA)
Best East African Video
Alikiba (Aje) Tanzania
Best Central African Video
Ferre Gola ft Voctoria Kimani (Tucheze) DR Congo
Best North Africa
Ibtissam Tiskat
Best South African Video
Casper Nyvorvest (War Ready)
West Africa Video
DJ Arafat
Best African Video Director
Godfather Kidogo (Nigeria)
Best African Music of the Year
Diamond Platinium ft PSquare (Kidogo) Tanzania
Special Recognition Award Music Video Africa
Mr Eazi ft Efya (Skin Tight) Nigeria
Viewer’s Choice Awards
Designer Panda (USA)
yaah bora umeona man , anaachaje kuweka red kwa ali k , ambaye ametwaa tuzo mbiliKuna sehemu naona red!!!!!!
I wish you could color all WINNERS from Tanzania with RED
Lakini yote Baridi!
Congratulation to Winners
Nimetofautisha rangi kulingana na idadi ya tuzo that is it. Ndio maana kuna medali ya dhahabu, medali ya shaba na medali ya fedha.Kuna sehemu naona red!!!!!!
I wish you could color all WINNERS from Tanzania with RED
Lakini yote Baridi!
Congratulation to Winners
Ndio hivyo tena. Tuzo hizo mbili amepata.Upo sahihi kabisa. Hata mimi sioni uzuri wowote wa huo wimbo
Ila mimi binafsi huwa huwa sio uzuri wa "Aje"
kiasi cha kuchukua tuzo za kimataifa, Aje ni ngoma level za tuzo za EATV awards.
naona mnaumia , sana jamaa kuchukua tuzo na ndo maana ukamfanyia figisu hata picha yake haukuiweka , thanks kwa mods wameona unafiki wako....unasahau jamaa wote ni watanzania na wameshinda kimataifaaNimetofautisha rangi kulingana na idadi ya tuzo that is it. Ndio maana kuna medali ya dhahabu, medali ya shaba na medali ya fedha.
Bora umeliona hilo aisee. Naona hao jamaa hawajafurahia kabisa.naona mnaumia , sana jamaa kuchukua tuzo na ndo maana ukamfanyia figisu hata picha yake haukuiweka , thanks kwa mods wameona unafiki wako....unasahau jamaa wote ni watanzania na wameshinda kimataifaa
Tena jamaa kasimama peke yake na kachukua tuzo.....
ndio hivyo nimpe hongera zake..Ndio hivyo tena. Tuzo hizo mbili amepata.
TENA BILA KOLABO,HUYU NDO MWANAUMEnaona mnaumia , sana jamaa kuchukua tuzo na ndo maana ukamfanyia figisu hata picha yake haukuiweka , thanks kwa mods wameona unafiki wako....unasahau jamaa wote ni watanzania na wameshinda kimataifaa
Tena jamaa kasimama peke yake na kachukua tuzo.....
Tatizo hamjafurahishwa na yeye kushinda hizo tuzo.ndio hivyo nimpe hongera zake..
Kazi ipo pale kutoa ngoma nyingine itakayofanya vizuri, huchelewi kusika zile za "..usiniseme kama napenda kula.."
yeeah man, Vijana wanatumia nguvu kubwaa, kumficha hawajui kama moto vileTENA BILA KOLABO,HUYU NDO MWANAUME
Hahahha mi hua Nacheka tu.Kumbe mmekubali wenyewe tangu jamaa anaimba muziki hyo AJE ndo kaimba Eeeeeehhh na zingine ilikua uharo tu.Sasa mwenzenu Mondi huko duniani unaendea mwaka wa4 mfululizo anakinukisha tu.Muda mwingine muwe mnakubali kuwa chini ili mpate mipango ya kupanda juuu.Bila kuwasema na ule uchafu sijui Lupela,mara mwana Dsm,mara sijui kina cheketua kua mlikua mnacheza tu leo mkaenda kutengeneza video nzuri mngetokaaayeeah man, Vijana wanatumia nguvu kubwaa, kumficha hawajui kama moto vile