...naomba ushauri wenu washikaji nifanyeje mimi na kiumbe huyu??
Wewe ungekuwa karibu yangu ningekurushia raba yangu hii ambayo haijui maji mwezi sasa........yaani una akili kweli wewe?"mfano baada ya kulaumu sana ujekupata taarifa kuwa mwenzio alipata matatizo mengi ambayo nawewe ukiyasikia unaingiwa na huruma utasemaje,utaanza kufuta lawama zako najua utapata shida sana kufuta lawama zako kwani utakuwa umesema maneno mengi sana ya kumlaumu mwenzio"
wewe ungekuwa karibu yangu ningekurushia raba yangu hii ambayo haijui maji mwezi sasa........yaani una akili kweli wewe?
Huyo demu kicheche period.
Demu gani anakutambulisha kwa mates wake kama weye rafiki yake???
Videmu kama hivi mimi navipaga night shift ijumaa tu usiku jumamosi asubuhi nakitimua vinakera sana.......
Mkuu na ww ulikuwa kama vile umelishwa limbwata ndio kupenda gani huko? Unatambulishwa hivyo bado tu unakaba? Ukabaji gani mechi isiyo na manufaa kwako?......kama timu wewe mecco ya mbeya...
Nikushari mkuu hawa viumbe wewe usijiweke kihivyo utajaumia sasa cheki tena inawezekana ulikuwa unamtumia vidola yeye anatanulia na vibongofleva vyake.damn!!
Achana na kicheche hicho....ila usikubali mkomeshe omba game rekodi clip irushe kulee...understood? ndio dawa yao hao mpaka watakoma......
. Tumekuwa vile na mambo yalikuwa shwari kabisa. One tukiwa out, nislishtuka kuona anapokea simu zinazo mshitua, and then nikachukua simu yake na kuona message eti CHUPI INAFICHA MAMBO MENGI SANA, HATA MIMI NAKUPENDA SANA TENA SANA TU...niliishiwa nguvu na sikuweza kumwuliza chochote kwa kuchanganyikiwa. then once nilipomuuliza alikuwa na kila sababu ya kujitetea, lakini mimi nilipumbaa na kuzidi kumwamini. BAada ya kuwa likizio tena nilimtembelea katika kituo chake cha kazi naye akawa ananitambulisha kwa washikaji zake et mimi ni kaka yake, kitu ambacho sikuweza kukielewa kabisa, na akawa na tabia ya ajabu, kwa mfano hakutaka hata mara moja kunibusu hadhalani nk. Nikaona makubwa na kuamua kuongea naye seriously, bado hakutaka kuniambia ukweli, then nikwambwambia dear if things must be like this then we better stop our relationship, akajidai kulia nk, na kuomba tuendelee kuwa na uhusiano ingawa hataki kunieleza kulikoni, cha ajabu zaidi sasa ni mwezi umepita simpati kwa simu, nahisi kabadili namba namba. naomba ushauri wenu washikaji nifanyeje mimi na kiumbe huyu??
...kwakweli mimi nakushauri kwa nia nzuri tu, uende ANGAZA ukapime kama hujaambukizwa virusi.
Kama utakuwa HIV-ve, mshukuru sana mungu, baadae utafute mwingine.
...kwakweli mimi nakushauri kwa nia nzuri tu, uende ANGAZA ukapime kama hujaambukizwa virusi.
Kama utakuwa HIV-ve, mshukuru sana mungu, baadae utafute mwingine.
Wala usigune, kumbuka kuwa mdada huyo alipotembelewa ofisini kwake alimtambulisha kiboy chake kama kaka yake, hii ina maana pale ofisini wanamjua boy friend mwingine wa mdada huyo. Iwapo hao wote walikuwa wakibanjuka kavukavu...? Ipo haja ya Kamanda kwenda Angazammmmhhh????
Ila na wewe bado tu umo! Miaka 10+ ndani ya JF, majukwaa yote!Du pole sana!ni ngumu ila MUOMBE MUNGU akutie nguvu inawezekana huyo hakuwa wako amini kuwa utampata mwingine aliye mwaminifu akupendae kwa dhati!
Kweli nyani haoni kundule. Na wewe bado upo 10+.Nitaacha siku nikiwa mzee wa miaka 100+.Ila na wewe bado tu umo! Miaka 10+ ndani ya JF, majukwaa yote!
Huu uzi nilikuwa kigori,hata nilikuwa bado sijazaa. Ila nilikuwa na busara jamani. Mungu endelea kunilinda mpaka miaka 100+Du pole sana!ni ngumu ila MUOMBE MUNGU akutie nguvu inawezekana huyo hakuwa wako amini kuwa utampata mwingine aliye mwaminifu akupendae kwa dhati!
Umekwepa mishale mingi.Mshukuru Mungu.Huu uzi nilikuwa kigori,hata nilikuwa bado sijazaa. Ila nilikuwa na busara jamani. Mungu endelea kunilinda mpaka miaka 100+