Washikaji wakikutana

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Pinda: Basi mwanangu JK ile umeniteua tu majuzi kushtuka usiku nikasikia kundi la watu liko nje ya nyumba yangu, kucheck dirishani naona wanakijiji wote wa kijiji changu toka Sumbawanga wamekuja kunipongeza na nyungo zao wamezipaki barazani
JK: Duh, kijiji kizima..!!! Mizengwe nipe hiyo teknolojia niipeleke Bwagamoyo, pamoja na utaalam wetu wachache sana wanaiweza hiyo
Shein: Kudadadeki, nyie watu wa Sumbawanga noma mmetufunika hata sisi wapemba
Wote: hahahahahahaaaaaaaa aaaa
 
Attachments

  • WASHIKAJI.bmp
    629.3 KB · Views: 129

....nami namalizia...hahaaaahaaaaaahiiiiiiii...yeemwe!
 
Back
Top Bottom