Wanajukwaa mko pouwaa. Moja kwa moja kuwatemea hoja hawa jamaa.Hawa jamaa ni wa muhimu sana kwenye shughuli na Wana mchango wa kuifanya shughuli either ipendeze au isipendeze. Baadhi yao wanajikuuuuta mwisho wa siku wanaharibu masuala.
Unakuta mmepambana kutoa michango ya hali na mali ulimradi shughuli muifanikishe alaf mc anakuja haribu mambo.
Kwa Mfano Kuna harusi Moja niliattend ilipofika muda wa chakula mc akawa anapiga beat anasema mimi ndiye ninayeamsha watu (kwenye meza)ole wako usimame kabla sjakuruhusu nitakutaja kwa jina,nguo uliyovaa na nakuhakikishia nitakuaibisha,Sasa nikajiuliza kipindi cha mchango polite language ndiyo hutawala "naomba usisahau kale ka mchango jamani,"naombeni ndugu zangu msiniangushe" Leo watu wamechanga wameattend tukio eti "nitakuaibisha🥱
KAULI KAMA HIZI ZINAWAFEDHEHESHA WASHIRIKI AMBAO ASILIMIA KUBWA NDIO WACHANGIAJI PIA, KUFUATA UTARATIBU ULIOWEKWA NI MUHIMU ILA TUONGOZANE KISTAARABU KAMA USTAARABU ULIVYOTUMIKA WAKATI WA KUOMBA MCHANGO
=====================================
Narudia ma mc acheni kuharibu shughuli za watu
Tupia ka kero kokote ka mc ambako usha wahi kutana nako